Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Nasubiri kumuona Aziz Ki msimu ujao ndio niamini kuwa amefeli kama mnavyonadi hapa jukwaani.
Najinukuu sehemu ya maelezo mkuu,
"Kama anarudi na hakutakiwa arudi tafsiri yake ni nini kama si kufeli?"

Asiporudi subira yako haitakuwa na maana sababu hajarudi meaning idea kuwa anarudi itakuwa haikuwa sahihi.
 
Tunafeli vipi wakati simba tunajipigia tuanyotaka! Yanga ni bingwaaa
 
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!

Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...

Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!

Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Kwa Yanga Aziz Ki ni star ila sie tunaojuwa mpira tulijiuliza, ukiondoa mashuti yake uwanjani, Aziz Ki ana nini cha ziada? Jibu ni kwamba hana lolote, ni mashuti tu ndiyo yanamsaidia.
 
Playmaker,Asissting na chance alizo zitengeneza tokea akiwa Asante Asec na Yanga zinajieleza.

Ndio maana mpaka sasa ana tuzo ya MVP katika ligi mbili tofauti. Sasa sijajua hao waliompa tuzo ktk ligi mbili tofauti na wewe nani anajua mpira?

Aziz K=Playmaking + Assisting + Goal Scoring.
 
Kwa hiyo na sasa kashindwa nini huko Uarabuni?
 
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!

Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...

Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!

Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Nahisi Hamisa atakuwa na gundu tu, sema wanaume wengi hawalijuwi hili, si kila mwanamke ni wa kuoa...wengi wapo tu kwa ajili ya kuchezewa na kuachwa kwani kuishi nao ni kujitakia laana za kimwili na kujiletea nuksi maishani. Wanawake wanaolala lala hovyo na wanaume wanapandikizwaga laana za kimwili na kiroho kuvurugwa maisha na nyota zao utembelewa na wanaume waliolala nao. Mwanamme zwazwa kama Aziz ukiingia kichwa kichwa tu unajikuta unabeba wewe hizo laana na kuharibikiwa maishani. Never date a changu maishani, wamejawa laana tupu miiliini mwao kwa kulała hovyo na wanaume wa hajabu hajabu kwa agili ya tamaa za maisha.
 
Playmaker,Asissting na chance alizo zitengeneza tokea akiwa Asante Asec na Yanga zinajieleza.

Ndio maana mpaka sasa ana tuzo ya MVP katika ligi mbili tofauti. Sasa sijajua hao waliompa tuzo ktk ligi mbili tofauti na wewe nani anajua mpira?

Aziz K=Playmaking + Assisting + Goal Scoring.
Hizi stats ziko deceiving, jamaa kwa kweli toka aanze kutoka na Hamisa kawa muokota makopo uwanjani, hana hili wala lile....anasikitisha kwa kweli hata wewe ungekuwa kocha wa ile timu ungemsusa tu Aziz.
 
Kuna watu ni vichaa.
Mtu unawaambia hajafeli alikuwa na mkataba wa miezi miwili kama Majaribio.

Amefuzu majaribio na amesajiliwa whydad.
Tunawaelewesha hamuelewi.

Mnapenda sana kufuatilia anguko la watu!!!!!
Nani amewaroga ndugu zangu watanzania???????

Haina kufeli.
 
Kasuswa na nani? Aziz K tayari ni mchezaji wa Wydad.
 
Kuna watu ni vichaa.
Mtu unawaambia hajafeli alikuwa na mkataba wa miezi miwili kama Majaribio.

Amefuzu majaribio na amesajiliwa whydad.
Tunawaelewesha hamuelewi.

Mnapenda sana kufuatilia anguko la watu!!!!!
Nani amewaroga ndugu zangu watanzania???????

Haina kufeli.
Azizi k , majaribio yake yamekuja vibaya ,
Kaenda kujaribiwa fifa world club ,
Katika kundi Kuna Juventus, man city , timu za ulaya kitu ambacho Aziz k mwenyewe hajawahi kukutana na timu kubwa kama hizo, afu anapata mda mdogo wa kucheza.
 
Back
Top Bottom