cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Unaongelea wachezai ambao walikua washamaliza career zao wakati was kufeli huko.Wabongo na ubongo wenu...
Samatta alitokea bongo akawika africa nzima.
Kufeli ama kufaulu kwa mchezaji ni case kubwa sana can you imagine sanchez wa moto arsenal alifeli man u
Dimaria wa moto kufeli man u
Vipi mtaalam shevchenko.
Vipi maestro ricardo kaka!?
Kuna special case ya ibrahimovic barca, kuna fundi messi kwa PSG(Huyu ni namba tu ndio zilishuka)
Torres ama radamel falcao.
Vipi chama hapo yanga na yule wa msimbazi?
Aziz ki amefeliiiii, 😂😂😂😂😂