Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,393
Reaction score
10,153
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!

Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...

Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!

Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
 
Wewe mbumbumbu kwa hio Sofyan Amrabat nae kafeli?
 
Wabongo na ubongo wenu...
Samatta alitokea bongo akawika africa nzima.

Kufeli ama kufaulu kwa mchezaji ni case kubwa sana can you imagine sanchez wa moto arsenal alifeli man u
Dimaria wa moto kufeli man u
Vipi mtaalam shevchenko.
Vipi maestro ricardo kaka!?
Kuna special case ya ibrahimovic barca, kuna fundi messi kwa PSG(Huyu ni namba tu ndio zilishuka)
Torres ama radamel falcao.
Vipi chama hapo yanga na yule wa msimbazi?
 
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!

Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...

Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!

Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Ukiona habari halafu ndani "unaambiwa" ujue hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom