Mchezaji kucheza dakika 20 ndio KAFELI??Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Hao hao Waydad ambao FLOP Onana, aliwatumbua GOLI 02??