Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kufeli kwa Aziz Ki huko Wydad Casablanca maana yake HAWEZI kabisa kucheza Simba maana Simba kwa viwango vya ubora Afrika Iko juu sana kwa Wydad Casablanca. Poleni sana wale "wenye mchezaji" wao! Ahahahahaha!!Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...