Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Yanga wamemuuza Aziz kitapeli tapeli tu, wachezaji wa Yanga mpaka wachomwe sindano za dawa za kuongeza nguvu ndio wanakimbia uwanjani huko uarabuni hakuna ujanja ujanja its about run run run with ball
Na nyie Mazuzu chomeni mkimbie
 
Unaeleza kwanini Aziz Kafeli, sawa Kocha aliyemuhitaji sio yule aliyepo haina ubishi.

Sasa Huyu ndio mchezaji tegemeo huku kwetu hata Mazoezini hajafanikiwa kumshawawishi kocha mpya..!

Kama ndivyo, Sisi huku Bongo hatuna la kutafakari .? Yaani mchezaji wa Caliber ya Kumuwazia kuwa MVP kwenye Ligi yetu pale Moroko ndani ya timu ya Wydad Anafeli...anafelije ?

Msuva alipitaje pitaje pale! Huyu anafelije? Hii Ligi kwa sasa ina Virusi vya Korona?
Kwenye michuano hii, timu nzima ya Wydad imefeli.
 
Unaeleza kwanini Aziz Kafeli, sawa Kocha aliyemuhitaji sio yule aliyepo haina ubishi.

Sasa Huyu ndio mchezaji tegemeo huku kwetu hata Mazoezini hajafanikiwa kumshawawishi kocha mpya..!

Kama ndivyo, Sisi huku Bongo hatuna la kutafakari .? Yaani mchezaji wa Caliber ya Kumuwazia kuwa MVP kwenye Ligi yetu pale Moroko ndani ya timu ya Wydad Anafeli...anafelije ?

Msuva alipitaje pitaje pale! Huyu anafelije? Hii Ligi kwa sasa ina Virusi vya Korona?
Utamlazimisha kocha kumpanga mchezaji asiye muhitaji? Bila shaka huwezi.
Ilikua vipi Kibwana kwa Gamond? Na alipoondoka ikawaje kwa kocha aliyemrithi?
The same to Kibu kwa kocha wa OBJECTIVE FOOTBALL yule alikula 5-1 na mtangulizi wake.
Wewe ukiona Cha nini mwenzako anasema nitakipata lini.
Wewe ukiona keki wenzako wanaona mavi tu, maisha ndivyo yalivyo.
 
Kufeli ni Kufeli tu. Unaweza kuzunguka zunguka kwamba alikuwa na wiki 3, oh alicheza dk 23.

Mchezaji mzuri touch ya kwanza tu utamjua kuwa hii ni Mali...
 
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!

Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...

Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!

Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Kafeli kwenye nini tena?
 
Uko sahihi kabisa, nashangaa watu humu walivyo furahia jamaa kutemwa hii inaonesha jinsi Watanzania tulivyo na roho za wivu kwa mtu aliyefanikiwa au kukuzidi na jamaa kibongo bongo ni mtu mwenyewe maisha mazuri
Utopolo walisema wamepiga bil.2.5 za Waydad kumbe zilikuwa drama tu,Karibu sana Aziza Ki uendelee kupiga push up kifuani Mwa Mobeto mpira umekushinda
 
Wabongo na ubongo wenu...
Samatta alitokea bongo akawika africa nzima.

Kufeli ama kufaulu kwa mchezaji ni case kubwa sana can you imagine sanchez wa moto arsenal alifeli man u
Dimaria wa moto kufeli man u
Vipi mtaalam shevchenko.
Vipi maestro ricardo kaka!?
Kuna special case ya ibrahimovic barca, kuna fundi messi kwa PSG(Huyu ni namba tu ndio zilishuka)
Torres ama radamel falcao.
Vipi chama hapo yanga na yule wa msimbazi?
Kama kawaida. Mtanzania ukimletea ''failure'' na yeye anakuletea ''failure'' ili kuonyesha kuwa yuko sahihi. Kwa nini hatuangalii kesi kwa kesi?
 
Sisi ni mediocre kwenye kila kitu, mchango wetu ni mdogo sana kwa maendeleo ya dunia, tunachangia zaidi mbolea ya samadi!
 
Amefeli kwa sababu kocha aliemtaka ameondolewa kwenye timu ndie anajua angemtumia vipi, matokeo yake amekutana na kocha asiejua thamani yake na hivyo kutokua chaguo lake kutokana na pengine mfumo wake anaokusudia kufundisha.
Good thinking
 
Mkuu Kuna uzi humu unajirudia rudia Sana unaitwa Nini sijui kihasibu hasara y
 
Back
Top Bottom