Najinukuu sehemu ya maelezo mkuu,Nasubiri kumuona Aziz Ki msimu ujao ndio niamini kuwa amefeli kama mnavyonadi hapa jukwaani.
Aziz Ki amesajiliwa rasmi na Wydad. Mjadala Umefungwa. Kwa hiyo Ligi yetu ya NBC ni bora.Tunafeli vipi wakati simba tunajipigia tuanyotaka! Yanga ni bingwaaa
Kwa Yanga Aziz Ki ni star ila sie tunaojuwa mpira tulijiuliza, ukiondoa mashuti yake uwanjani, Aziz Ki ana nini cha ziada? Jibu ni kwamba hana lolote, ni mashuti tu ndiyo yanamsaidia.Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Playmaker,Asissting na chance alizo zitengeneza tokea akiwa Asante Asec na Yanga zinajieleza.Kwa Yanga Aziz Ki ni star ila sie tunaojuwa mpira tulijiuliza, ukiondoa mashuti yake uwanjani, Aziz Ki ana nini cha ziada? Jibu ni kwamba hana lolote, ni mashuti tu ndiyo yanamsaidia.
Kwa hiyo na sasa kashindwa nini huko Uarabuni?Playmaker,Asissting na chance alizo zitengeneza tokea akiwa Asante Asec na Yanga zinajieleza.
Ndio maana mpaka sasa ana tuzo ya MVP katika ligi mbili tofauti. Sasa sijajua hao waliompa tuzo ktk ligi mbili tofauti na wewe nani anajua mpira?
Aziz K=Playmaking + Assisting + Goal Scoring.
Nahisi Hamisa atakuwa na gundu tu, sema wanaume wengi hawalijuwi hili, si kila mwanamke ni wa kuoa...wengi wapo tu kwa ajili ya kuchezewa na kuachwa kwani kuishi nao ni kujitakia laana za kimwili na kujiletea nuksi maishani. Wanawake wanaolala lala hovyo na wanaume wanapandikizwaga laana za kimwili na kiroho kuvurugwa maisha na nyota zao utembelewa na wanaume waliolala nao. Mwanamme zwazwa kama Aziz ukiingia kichwa kichwa tu unajikuta unabeba wewe hizo laana na kuharibikiwa maishani. Never date a changu maishani, wamejawa laana tupu miiliini mwao kwa kulała hovyo na wanaume wa hajabu hajabu kwa agili ya tamaa za maisha.Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Hizi stats ziko deceiving, jamaa kwa kweli toka aanze kutoka na Hamisa kawa muokota makopo uwanjani, hana hili wala lile....anasikitisha kwa kweli hata wewe ungekuwa kocha wa ile timu ungemsusa tu Aziz.Playmaker,Asissting na chance alizo zitengeneza tokea akiwa Asante Asec na Yanga zinajieleza.
Ndio maana mpaka sasa ana tuzo ya MVP katika ligi mbili tofauti. Sasa sijajua hao waliompa tuzo ktk ligi mbili tofauti na wewe nani anajua mpira?
Aziz K=Playmaking + Assisting + Goal Scoring.
Kashindwa wapi wakati tayari amesajiliwa na Wydad.Kwa hiyo na sasa kashindwa nini huko Uarabuni?
Kasuswa na nani? Aziz K tayari ni mchezaji wa Wydad.Hizi stats ziko deceiving, jamaa kwa kweli toka aanze kutoka na Hamisa kawa muokota makopo uwanjani, hana hili wala lile....anasikitisha kwa kweli hata wewe ungekuwa kocha wa ile timu ungemsusa tu Aziz.
Azizi k , majaribio yake yamekuja vibaya ,Kuna watu ni vichaa.
Mtu unawaambia hajafeli alikuwa na mkataba wa miezi miwili kama Majaribio.
Amefuzu majaribio na amesajiliwa whydad.
Tunawaelewesha hamuelewi.
Mnapenda sana kufuatilia anguko la watu!!!!!
Nani amewaroga ndugu zangu watanzania???????
Haina kufeli.