Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Sio team Wema ila sioni kosa la Wema hata mimi ningeumia nipewe kesi wengine waachwe kisa tu wanatembea na big boss wakati hadi kufungwa walifungwa kwa madawa, Warumi unamtetea Uwoya sababu humpendi wema ila hii meseji angeandika mama Ubaya ungeiponda tu
 
Nakuaminia
 
Duh
Samahani ivi Warumi ni ke au me?
Samahani kwa swali tata wakuu naomba kujua tu[emoji23]
 
Kumbe alikuwa Hujui kama anarekodiwa...kwa alisema kwa hasira kwamba yeye kakamatwa wakati hafanyi hio biashara.... Na Anaefanya ambaye keshakamatwa hatakiwi kwa sababu chakula ya mkulu.... Ivi ingekuwa wewe umefanyiwa uonevu huu usingesema??? Kumbuka hasira zake hazikuwa masogange zilikuwa kwa mkulu. Na kwa vile alikuwa hajui kwamba anarekodiwa nadhani wema yuko innocent. Inaitwa ajali. Kama angemtaja moja kwa moja tungesema wema mkorofi.
 
>> mi sio ni ni kota *** la masogange linawapa sheeda polisi wetu >>
 
Hapo kwenye "Your dead and gone" Uwoya alikuwa anamaanisha nini. Tujifunze kutumia na kuipenda lugha yetu ya Taifa popote pale kama anavyofanya Dr John.
 

Si Wema aliyefanya akamatwe, tuwe wa kweli.

Kama Wema alifanya akamatwe ina maana Wema kasema kweli kuhusu Masogange na Makonda?

Na alivyoshikwa SA, ni Wema alimchomea?

Masogange kama anataka kujisafisha aseme kweli tu.
 
Issue ya Masogange ni ngumu hata Mwakyembe amekiri kuwa aliewatonya ameishia kufungwa, jiulize ni kwa nini? ule mzigo ulikuwa wa nani? hiyo ndio ngoma ambayo ilichezwa vizuri awamu iliyopita mpaka kupelekea mwanadada aliekamatwa na mabegi ya unga kuwa huru utafikiri alikuwa amebeba vitenge vya wax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…