shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Nimeona na lemutuz kazungumziaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakuaminiaLile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.
Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.![]()
Atakuwa alivuta ile ya kule kwenu katerero iliyokuwa inastawishwa na mbolea ya ruzuku.Wema alivuta bangi kwanza kabla ya kuongea...
Kumbe alikuwa Hujui kama anarekodiwa...kwa alisema kwa hasira kwamba yeye kakamatwa wakati hafanyi hio biashara.... Na Anaefanya ambaye keshakamatwa hatakiwi kwa sababu chakula ya mkulu.... Ivi ingekuwa wewe umefanyiwa uonevu huu usingesema??? Kumbuka hasira zake hazikuwa masogange zilikuwa kwa mkulu. Na kwa vile alikuwa hajui kwamba anarekodiwa nadhani wema yuko innocent. Inaitwa ajali. Kama angemtaja moja kwa moja tungesema wema mkorofi.Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Hata Mimi naanza kuhisi Warumi ni she na sio he kama nilivyokua nikidhaniSiku zote nilikuwa najua ndugu yangu warumi ni he, kumbe She.
Tokea kukamatwa kwa AGNES naona DAUD amechanganyikiwa kabisa, kwanza kaiba cheti cha Paul wa Tabora, pili kahaba lake police wanapeana shift tu kutupia kambaKumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Hapo kwenye "Your dead and gone" Uwoya alikuwa anamaanisha nini. Tujifunze kutumia na kuipenda lugha yetu ya Taifa popote pale kama anavyofanya Dr John.Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.
Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.![]()
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Si Wema aliyefanya akaamatwe, tuwe wa kweli.
Kama Wema alifanya akamatwe ina maana Wema kasea kweli kuhusu Masogange na Makonda?
Na alivyoshikwa SA, ni Wema alimchomea?
Masogange kama anataka kujisafisha aseme kweli tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa alivuta ile ya kule kwenu katerero iliyokuwa inastawishwa na mbolea ya ruzuku.
Mkuu ukipewa jibu fanya kuntag.Aliemkamata Masogange na mabegi ya unga South ni Wema?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ohooooo!!!