PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohoooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiv ni kweli Aggy alkuwa posho ya boss wa mkoa??Issue ya Masogange ni ngumu hata Mwakyembe amekiri kuwa aliewatonya ameishia kufungwa, jiulize ni kwa nini? ule mzigo ulikuwa wa nani? hiyo ndio ngoma ambayo ilichezwa vizuri awamu iliyopita mpaka kupelekea mwanadada aliekamatwa na mabegi ya unga kuwa huru utafikiri alikuwa amebeba vitenge vya wax.
Wema anajua.Hiv ni kweli Aggy alkuwa posho ya boss wa mkoa??
Boss wa mkoa ni ploy....hana ubavu wa kusukuma ule msambwanda v8 standards.Hiv ni kweli Aggy alkuwa posho ya boss wa mkoa??
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Ndio tunajua, sasa walikua wapi siku zote kumkamata? why wamkamate badala ya wema kumtaja? tutadili nae hyo ajuza asiyezaa mpaka akome mfyuuuuuchawi wake ni nini? kuna mtu asiyejua kua masogange alikamatwa na madawa ya kulevya? harafu wewe kama si uwoya basi jirani yake... si kwa povu ili, nakuona nakuona...
1.Una deal naye wewe na nani ?Ndio tunajua, sasa walikua wapi siku zote kumkamata? why wamkamate badala ya wema kumtaja? tutadili nae hyo ajuza asiyezaa mpaka akome mfyuuuu
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
aah siku nitawaambia jinsia yanguHata Mimi naanza kuhisi Warumi ni she na sio he kama nilivyokua nikidhani
ukisikia paaaaaa!!!!!, werevaaaaaa1.Una deal naye wewe na nani ?
2.Shughuli zako binafsi umezimaliza ? Hadi unapata muda wa kufuatilia watu ambao maisha yao hayakupunguzii pumzi unayovuta
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.
Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.![]()
Hupendi mwuza madawa ya kulevya ashikwe?Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Hili ni janga la taifa mkuu kuanzia kule kileleni.Huyo binti nae hajui kiingereza? Eti 'your dead' [emoji23][emoji23]
Warumi em weka picha yako tuone kati ya wewe na demu wangu wena nani shetani..Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.