Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
04a8dfa40bb9c76104d1aa7e58ecdd80.gif
 
Issue ya Masogange ni ngumu hata Mwakyembe amekiri kuwa aliewatonya ameishia kufungwa, jiulize ni kwa nini? ule mzigo ulikuwa wa nani? hiyo ndio ngoma ambayo ilichezwa vizuri awamu iliyopita mpaka kupelekea mwanadada aliekamatwa na mabegi ya unga kuwa huru utafikiri alikuwa amebeba vitenge vya wax.
Hiv ni kweli Aggy alkuwa posho ya boss wa mkoa??
 
Wema saaaaaaafiiii sana,mimi sio timu Wema,nampenda sana Uwoya ata akiwa hataki kupendwa na mimi nitampenda tu,na vigezo ninavyo mimi mbaya,ila Wema alicho nampongeza japo sio timu,kama wa Tanzania tunatakiwa kutokomeza utumiaji wa "ngada",kama kweli tuna nia njema tusifanye jambo hili kwa chuki,tufanye kwa moyo mkunjufu kwa kuwataja wausika kweli bila upendeleo,na ndio mana Wema aliumia akaona kwa nini iwe mimi yule asiwepo na anamjua kuwa teja la nguvu,alafu yupo jirani na mtu aliye mpakazia,panataka moyo hapa lazima ulopoke,asante dada Wema japo sio timu yako.
 
uchawi wake ni nini? kuna mtu asiyejua kua masogange alikamatwa na madawa ya kulevya? harafu wewe kama si uwoya basi jirani yake... si kwa povu ili, nakuona nakuona...
Ndio tunajua, sasa walikua wapi siku zote kumkamata? why wamkamate badala ya wema kumtaja? tutadili nae hyo ajuza asiyezaa mpaka akome mfyuuuu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunajua, sasa walikua wapi siku zote kumkamata? why wamkamate badala ya wema kumtaja? tutadili nae hyo ajuza asiyezaa mpaka akome mfyuuuu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
1.Una deal naye wewe na nani ?

2.Shughuli zako binafsi umezimaliza ? Hadi unapata muda wa kufuatilia watu ambao maisha yao hayakupunguzii pumzi unayovuta
 
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.
0d4af2ad2c1425946e216485b5739984.jpg

Wema mwenyewe anatokea Tabora kwa maana ni Mnyamwezi.

 
Hata asingemtaja masogange anajulikana ni mbeba madawa bado angeachwa viulizo vungekuwa vingi
 
Back
Top Bottom