Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

Hapo Naipa marks rumion, kwasababu kadhaa. Cvt, inamatumiz mazur sana ya mfuta, body ni kubwa Yaan space ya kutosha, mziki hii gari ina speakers 4, twits zipo 4 na base 1 Yaan kwenye suala la mziki huitaj kuongeza speakers ya ziada, kuhusu ground clearance unaweza funga rim size 17 au 16 gari inanyanyuka
RUMIO IS THE BEST
 
Vp exterior design?
 
Exterior iko poa, rumion inakua mbaya kama utaiacha na rim za karai size 15 , lakin ukitaka ionekane unyama weka size 17 au 18 hasa zile rim za kutoka nje oyaaa gari inakua kali kinyaaaama, kama hyo nyeupe alie ipost mtoa maada
Daaah hyo ni personal preference..katika gari yenye muonekano mbaya ukitoa nissan juke inafuata rumion
 
Daaah hyo ni personal preference..katika gari yenye muonekano mbaya ukitoa nissan juke inafuata rumion
Mzee zipo rumion kali Sanaa Sema ww umekutana na rumion ambazo hazijalembwa angalia rumion ya yule anae jiita sharo wa Mitumba sijui insta, au ya pipytida. Mchaw kwenye rumion ni tairi kubwa tu kama ilivyo kwa impreza au 1serie BMW
 
Nakuunga mkono Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…