Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

Mzee zipo rumion kali Sanaa Sema ww umekutana na rumion ambazo hazijalembwa angalia rumion ya yule anae jiita sharo wa Mitumba sijui insta, au ya pipytida. Mchaw kwenye rumion ni tairi kubwa tu kama ilivyo kwa impreza au 1serie BMW
Hakika Mkuu unapiga rim Kali na tint ukiipata rumion nyeupe Safi TU siku zinasonga
 
Back
Top Bottom