itscowboy98 JF-Expert Member Joined Dec 9, 2025 Posts 883 Reaction score 1,427 Aug 15, 2026 #21 raylin said: Mzee zipo rumion kali Sanaa Sema ww umekutana na rumion ambazo hazijalembwa angalia rumion ya yule anae jiita sharo wa Mitumba sijui insta, au ya pipytida. Mchaw kwenye rumion ni tairi kubwa tu kama ilivyo kwa impreza au 1serie BMW Click to expand... Hakika Mkuu unapiga rim Kali na tint ukiipata rumion nyeupe Safi TU siku zinasonga
raylin said: Mzee zipo rumion kali Sanaa Sema ww umekutana na rumion ambazo hazijalembwa angalia rumion ya yule anae jiita sharo wa Mitumba sijui insta, au ya pipytida. Mchaw kwenye rumion ni tairi kubwa tu kama ilivyo kwa impreza au 1serie BMW Click to expand... Hakika Mkuu unapiga rim Kali na tint ukiipata rumion nyeupe Safi TU siku zinasonga