Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Suzuki Grand ESCUDO ni gari aisee. Haijawahi kunisumbua hata kama naenda porini huko. Nikikuta barabara mbovu na mchanga sijui tope naweka 4WD bhaasi
Mimi nilikuwa nako kale ka Suzuki Escudo kadogo-Short chasis,kwanza kagumu,katamu kwenye kuendesha,nikakuta kamening'ang'ania kama luba,ukikapiga 4wd kukiwa na matope utatamani mvua zisikatike...
 
Back
Top Bottom