Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Ukitaka kulia machozi yasiyokwisha agiza hiyo Isuzu Bighorn.

Ni gari comfortable, fuel consumption nzuri,four-wheel gear ya uhakika unapita popote.

Tatizo kubwa ni injini na mfumo wa umeme, gari hii ilinifanya mimi mwenyewe niwe fundi, mzigo ukiwa mikoa ya barid hata Dar, ikishapoa tuu kuiwasha mtiti yaani mpaka ujufunze kuchoma heater direct (nishaungua sanaaa mikono).

Spea zake ni ghaliii sana,turbo lake bovuuu na haina mwendo hyo ni mdogo mdogo mzee.

Niliinunua mwaka 2011 ikanitesa sanaaa,haiuziki nimeitelekeza mkoani mbeya mpaka leo hii halina mteja.

Narudia tena ni bovu bovu bovu sanaaaa,mimi ni mtunzaji sana wa magari lakini hapo nilikwama.

Ukija kwenye grand vitara,nayo ni nzuri ila tatizo lake kubwa ni kula oil ndio maana wengi wanakaanga injini zake deile,nilipata kuinunua mwaka 2015 ikanifia mwaka huo huo,niliweka oil ya BP kwenye service lakini ngoma ilienda arusha ile kurudi nishakaanga wakati nilipima oil nikaona ipo vizuri,hii nayo vipuri vyake ni ghari sana,nikafanya overhaul ya injin nikaiuza.

Nikaamua kuhamia Toyota ambako sikudumu sana nikahamia magari ya ulaya ndio nimepata pumziko la moyo
Hio gari au jiko la nyamachoma😂????

Jana nimekutana na Ssangyong a.k.a Musso ikiwa maeneo ya victoria mkabala na sheli ya Lake oil huku bonnet likiwa wazi abiria watatu ndani wakiwa sura zao zimesawajika ,,,nakumbuka hio gari ilitamba sana miaka ile ya 1998 enzi za mtoto wa geti kali ya inspekta haroun. Nilicheka kimoyo moyo 😂😂😂 kuna gari huwa zinadhalilisha sana
 
Suzuki mkataba huo hadi mjukuu ataikuta😂😂😂
Tupe experience ya SUZUKI

Kuna msemo wa kiswahili, "Usilolijua ni kama usiku wa giza" 😂

Products za isuzu ni konki sana, kuanzia gari za mizigo mpaka isuzu journey.

Kama mtu imemshinda, ilete tuu.
Kuna kampuni ni mabingwa wa gari flani, mfano Isuzu kwenye malori, mabasi, DmaX iko njema ila SUV amefeli. Mitsubishi halikadhalika yuko njema kwenye mitambo, malori, mabasi, gari za mbio ila SUV nae jau tu.

Pajero na isuzu bighorn ni ushuzi wa dengu. Waliokurupukia hizo gari watakiri hayo.
 
Usije tamani kunirudishia mzee haaa haa na hela nikawa nishakula,ile ngoma kuna siku nashuka chimala nikitokea matamba ile milima ya kule hata kitonga na sekenke inasubiri mbali sanaaa,taa zikazima ghafla na brek zikapotea nikazima gari na kuiwasha ikiwa bado imechanganya ikakubali kuwaka nikatembea nayo bila taa mpaka brek zilipokubali,siku hiyo ndio nilijua kuna Mungu aisee
Hahahahahhaha kudadadeq hio gari ingekuua mzee bora ulilitupa home tu.
 
Suzuki mkataba huo hadi mjukuu ataikuta😂😂😂



Kuna kampuni ni mabingwa wa gari flani, mfano Isuzu kwenye malori, mabasi, DmaX iko njema ila SUV amefeli. Mitsubishi halikadhalika yuko njema kwenye mitambo, malori, mabasi, gari za mbio ila SUV nae jau tu.

Pajero na isuzu bighorn ni ushuzi wa dengu. Waliokurupukia hizo gari watakiri hayo.
Unazungumza ukweli mtupu. Kuna kipindi nilitaka kujichanganya kununua Pajero Mitsubishi Seat 7 zile. Ila kupitia JF nikapata elimu nikaachana na Mitsubishi
 
Hio gari au jiko la nyamachoma[emoji23]????

Jana nimekutana na Ssangyong a.k.a Musso ikiwa maeneo ya victoria mkabala na sheli ya Lake oil huku bonnet likiwa wazi abiria watatu ndani wakiwa sura zao zimesawajika ,,,nakumbuka hio gari ilitamba sana miaka ile ya 1998 enzi za mtoto wa geti kali ya inspekta haroun. Nilicheka kimoyo moyo [emoji23][emoji23][emoji23] kuna gari huwa zinadhalilisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom