establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Niice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice SUV indeed!Niice
Tuliza mshonoMungu ni mwema mzigo uewasili salama, nimeenda kurudi mkoani, kwa ufupi niseme ni hatare.View attachment 2189721
Upi labdaTuliza mshono
MmhTuliza mshono
Kama mbadala wa SUV za Toyota ambazo zinalanguliwa Sana. Ni Bora mtu kukaa huku kuliko kujichanganya kwa Mzungu Land rover, VW, GMC, Chevrolet, Jeep,. Mercedes Benz.Suzuki for life
Hlf mafundi wetu wanazingua sn,wakishindwa gari wanasema ni mbovu,mm nlkua na grand escudo,nmekaa nayo 5 yrs,haijawahi nisumbua japo Kuna wkt haikutembea mara kwa mara,gearbox ikaja kuzingua ikbd niuze.Kama utaipenda Isuzu Bighorn chukua ya diesel yenye injini ya 4JX1 iwe manual. Nyingi zilizosumbua ni zenye injini ya 4JG2 mafundi na watumiaji walishindwa kuendana nazo.
Naitumia huu almost mwaka wa 10, more reliable than toyotaBighorn taka taka achana nayo kabisa
Sasa grand escudo si trekta tu. Hata huo mfumo wa Umeme si simple tu!Hlf mafundi wetu wanazingua sn,wakishindwa gari wanasema ni mbovu,mm nlkua na grand escudo,nmekaa nayo 5 yrs,haijawahi nisumbua japo Kuna wkt haikutembea mara kwa mara,gearbox ikaja kuzingua ikbd niuze.
Shida ingine ya grand escudo wadau wengi wanasema ni mfumo wa umeme japo ckuwaho experience hili.
Spare zake vipi?? Ukiwa road hua unakutana na wenzako kweli??Bighorn taka taka achana nayo kabisa
MmhSpare zake vipi?? Ukiwa road hua unakutana na wenzako kweli??
Ukimpata Fundi Mudi utafurahia sana maisha, yani kuipata 140 ni kugusa tu..Bighorn taka taka achana nayo kabisa
Gari unaita Trekta?Sasa grand escudo si trekta tu. Hata huo mfumo wa Umeme si simple tu!