M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Suzuki Grand Escudo gari ya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilifanya vimbwanga?Nissan fuga yako inaendeleaje?
Nini shida?Lipo sokoni nauza 3m
Kama huna hela kaa kimyaToyota Bei si ya kitoto
KaribuAsanteni Ndugu zangu
Toyota bye bye
Gari ngumu Sana. Wese la kawaida labda Kama mtu wa kukaa Sana kwenye mifoleni ya hapo DarMkuu unayo hyo grand escudo? Vp ulaji mafuta hyo ya 2.7cc
Hiyo grand escudo na escudo ipi ipo vyema kuliko nyingine kwenye suala la reliabilitySuzuki Grand Escudo gari ya kazi
Grand escudo Ni ngumu Zaid na space kubwa ndaniHiyo grand escudo na escudo ipi ipo vyema kuliko nyingine kwenye suala la reliability
Mbona befoward ziko kama 3 zinazouzwa shida nini? Ila nimeipenda bei ni nzuri na TRA ushuru nafuu tofauti na suv nyngine kama kluger.Grand escudo Ni ngumu Zaid na space kubwa ndani
Nadhani hizo gari ni chache mnadaniMbona befoward ziko kama 3 zinazouzwa shida nini? Ila nimeipenda bei ni nzuri na TRA ushuru nafuu tofauti na suv nyngine kama kluger.
NotedSuzuki Escudo gari imetulia Sana barabarani.
UNYAMA mwingi sanaWakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi? Ukizingatia barabara off-road na spea Tanzania. Mafuta usihofu nayamudu
View attachment 1928570
View attachment 1928571
View attachment 1928573
View attachment 1928574