BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Habari ya wakati huu,
IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia
IT and communication Officer anafanya Kazi Kama Usimamizi wa mifumo ya komputa, Usimamizi wa mtandao(networking), Usalama wa Taarifa, IT support, Kuratibu mawasiliano ya ndani kidigitali, Kuratibu mawasiliano ya nje kidigitali (website na mitandao ya kijamii) na Branding au kutengeneza muonekano Mzuri wa Taasisi katika fikra za Watu( image ya Taasisi kwenye jamii)
Mimi ni kijana mwanaume, ninasoma kozi inaitwa Bachelor Degree in Digital Content and Broadcasting Engineering,
Nina uzoefu wa Lugha za komputa Kama HTML, CSS, JAVASCRIPT, JAVA, DATABASE, na PHP
Nimesha fanya project Tofauti Tofauti zaidi ya Moja Kwa Kutumia Lugha hizi
Pia Nina ujuzi wa kutengeneza Matangazo ya kidigitali (posters, flayers , business card, bunner)
Pia Nina uzoefu na uwezo wa kusimamia websites
Nina experience ya kufanya Kazi Kama Media officer na communication Officer katika Taasisi Mbili Tofauti,
Kuanzia Mwezi wa Saba Nitakuwa na nafasi ya kufanya field napenda Sana kujifunza
Nachukua nafasi hii kuomba Kuunganishwa na Taasisi, kampuni, au Mtu yoyote mwenye Taarifa au fursa inayo endana na taaluma na ujuzi wangu, Nipo tayali kutoa mchango Wangu Kwa ufanisi mkubwa katika kukuza mifumo ya Teknologia na mawasiliano ya Taasisi.
Email: [email protected]
Contact: +255 774 496 140