Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

Ninatamani Mungu aniondolee chuki dhidi yako.
Nikiona tu id yako ninachukia kweli kweli japo sipendi kuchukia mtu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,

Apathy ni inatokea tuu mtu unamchukua ukimuona tuu unachefukwa for no apparent reasons kama wamama waja wazito, the best way out for this ni kumu ignore, hii feature tunayo humu JF, uki mu ignore hutaona chochote cha mtu huyo.

Vibes ni pale mtu fulani hamuendani, picha haziendi, hampikiki kutokana na tofauti za kisiasa, mitazamo, chuki, dini, rangi kabila, kipato, or mli cross lines somewhere alikudump, alikupora, etc, etc, this being the case, ni kujifunza tuu kitu kinachoitwa managing divesity, wako wengi humu jf wamenichukia nilipojiunga CCM, wananitukana sana humu jf na wote mimi nawapa like.
Hata unichukie vipi, mimi nakupenda tuu na nawapenda wote, na hata Lissu, ni mimi ndiye nilimshauri agombee urais


Na baada ya kupigwa risasi na kupona, aligoma kurejea nchini, mpaka ahakikishiwe ulinzi, ni mimi tena ndiye niliyemshauri arejee tuu hivyo hivyo


Hivyo wana Chadema, wanaonichukia, wananichukia bure!,
Ila na mimi pia ni binadamu na sio mkamilifu, kosa langu kubwa na udhaifu wangu mkubwa ni kuwa mkweli too much!

Mfano uchaguzi huu, Chadema wengi wanaamini Lissu anashinda, mimi nimewaeleza ukweli ni JPM na CCM, ukweli kama huu

Uchaguzi 2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

Unauma , watu wanakasirika sana na kutukana, lakini mwisho wa siku, ukweli ni masaa machache tuu utaanza kudhihirika...
P
 
Wala usizunge huko kote

Ulikuwa mtu bora na akili zako

Sasa akili zako zimekuwa sawa na za Esau, umeuza utu wako kwa ujira wa DENNGU/NJAA

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Zwazwa
 
Acha uongo. Huna upendo. Tena una chuki mbaya sana na udini dhidi ya watu wasio dini yako
 
Ila binadamu tunatofautiana sana fikra.

Kama kawaida ya watabiri uchwara with quick stupid predictions na lovers of shortcuts.

Watanzania wanaopenda mageuzi nchi hii hawakuanza jana na wala hawataisha kamwe.

Na inafahamika CCM imehidhi kila kitu kuhakikisha ni wao tu ndio wako madarakani haijalishi watashinda kura au hawatashinda.

Mfano halisi ni Zanzibar ambako ccm hawajawahi kushinda uchaguzi.

Kama hilo halitoshi, juzi tu hapa kila mwenye akili timamu aliona kilichotokea serikali za mitaa.

CCM ni Majoka 🐍🐍🐍 shatani.

Mwaka jana tu Bob Chacha Wangwe walushinda kesi ya kutowaruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi, fasta hukumu ikageuzwa Kwasababu ndio ROHO ya Chatu CCM.

Jambo kubwa na la msingi wanaopenda mabadiliko wanapaswa kujua ni kwamba: Hali ya LEO siyo kama JANA.

Vyama vya upinzani vinafanya uchaguzi katika hali ngumu sanaaa lakini Vinakua kwa kasiii ya ajabu na hata CCM wameshakuwa waoga mnooo.

Hivyo haijalishi kwamba ccm itashinda leo, 2020, 2030, 2035.

Issue ni kwamba hsli imebadilka sana na inabadilika kila siku, hivyo pambazuko liko karibu.

Ni afadhali kupiga hatua MOJA mbdle kuliko kukaa tu nyumbani unasubiri hisani kutoka ccm ikuangukie miguuni.

CCM itakubali kukas mezani ijiwa tu kutakuwa na shinikizo la ndani na nje ya nchi.

Hata Kikwete aliyejaribu kutaka ktuletea katiba yenye usawa alipigwa vita mnoo, do kwa CCM 🐍🐍🐍mpaka yatokee machafuko wauwe watu kwanza kama ilivyokuwa Zanzibar ndio wakubali kuandika upya katiba.


Mabadiliko yako karibu sana tena mnoo, hata jumuiya za kimataifa zishawashtukia CCM 🐍🐍🐍🐍
 
Hivi huwezi kuandika sentence fupi fupi. Unajaza utopolo humu kama nini yaani.

Na hii tabia ya kuleta LINKS ya threads zako kwenye Nyuzi za watu sijui utaacha lini ?

Unaboa kinyama yaani
 
But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.

For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
Ili kuzuia uchaguzi wetu usilete matokeo ya fait accompli, tuliwaomba wakubwa wetu, uchaguzi huu uendeshwe kwa ceteris paribus na sio kwa mutatis mutandis


Maadam siku yenyewe ni leo, ngoja tusubiri matokeo ili tuone kama matokeo ni fait accompli, then uchaguzi uliendeshwa kwa mutatis mutandis na baada ya 2020 kuelekea 2025, tukisubiria tuu kuwa ceteris paribus itajitokea, then tutafika 2025 kwa mutatis mutandis tena na matokeo ni yale yale fait accompli.

P
 
Kuna quote moja ya Albert Einstein anasema

"Insanity is doing the same thing over and over again but expecting different results".

Kiukweli kama upinzani unahitaji kukiondosha chama tawala itahitajika mbinu nyengine na si kupiga kura pekee maana pale ni kama kukamilisha taratibu tu za kikatiba .

We need to think out of box.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie kinachoniuma ni pesa na rasirimali tunazozipoteza kwa kitu ambacho tayari tunajua matokeo yake, hicho tu.

Kura zitapigwa kama kawaida, figisu zitafanyika, mshindi ATATANGAZWA, kelele malalamiko na vuruguvurugu za hapa na pale zitafanyika kisha mambo yatatulia, maisha yataendelea kama ambavyoimekua ikitokea huko awali. Kimsingi mambo ni yale yale, hakuna kitu kimefanyika tofauti safari hii.
 
Hahaha interesting
 
Ona huyu naye!

Kusoma na kuelewa ni janga!

Mtu anaweza akawa yuko upande mmoja na wewe lakini kwa vile unaendeshwa na hisia badala ya akili, unaishia kumwona mtu huyo kuwa hayuko nawe!

Pole sana.

#IntellectOverEmotions.
 
Lisu anafahamu kuwa kaja kutalii tu.
 
Akirudi hata uhuru wetu kidogo uliobakia anauchukua.
 
Kuwa wewe ni chizi. Hujawahi kutambua hilo siku zote tangu uanze kuchangia hapa JF?
Wewe ndo chizi. Tena chizi 2.0.

Na ndo maana unani stalk kila mahali!!

Get a life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…