Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,Ninatamani Mungu aniondolee chuki dhidi yako.
Nikiona tu id yako ninachukia kweli kweli japo sipendi kuchukia mtu.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Apathy ni inatokea tuu mtu unamchukua ukimuona tuu unachefukwa for no apparent reasons kama wamama waja wazito, the best way out for this ni kumu ignore, hii feature tunayo humu JF, uki mu ignore hutaona chochote cha mtu huyo.
Vibes ni pale mtu fulani hamuendani, picha haziendi, hampikiki kutokana na tofauti za kisiasa, mitazamo, chuki, dini, rangi kabila, kipato, or mli cross lines somewhere alikudump, alikupora, etc, etc, this being the case, ni kujifunza tuu kitu kinachoitwa managing divesity, wako wengi humu jf wamenichukia nilipojiunga CCM, wananitukana sana humu jf na wote mimi nawapa like.
Hata unichukie vipi, mimi nakupenda tuu na nawapenda wote, na hata Lissu, ni mimi ndiye nilimshauri agombee urais
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
Na baada ya kupigwa risasi na kupona, aligoma kurejea nchini, mpaka ahakikishiwe ulinzi, ni mimi tena ndiye niliyemshauri arejee tuu hivyo hivyo
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. ..Nimesikiliza mahojiano kati ya Mh.Tundu Lissu na kituo cha habari cha Clouds. ..Watangazaji walimuuliza Tundu Lissu atarejea lini, na jibu...
Hivyo wana Chadema, wanaonichukia, wananichukia bure!,
Ila na mimi pia ni binadamu na sio mkamilifu, kosa langu kubwa na udhaifu wangu mkubwa ni kuwa mkweli too much!
Mfano uchaguzi huu, Chadema wengi wanaamini Lissu anashinda, mimi nimewaeleza ukweli ni JPM na CCM, ukweli kama huu
Uchaguzi 2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu
Unauma , watu wanakasirika sana na kutukana, lakini mwisho wa siku, ukweli ni masaa machache tuu utaanza kudhihirika...
P