Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Election Day is tomorrow.

I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it.

So I’m not gonna make a prediction one way or the other.

But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.

Time to look forward to 2025.

I don’t expect much to be different in the next election cycle, either.

For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.

2025 panapo majaaliwa, tutajikuta hapa hapa tulipo leo, na pale pale tulipokuwa 2015, 2010, 2005, 2000, na 1995.

Pia, nimegundua kuwa hata makamanda nao uhalisia umeanza kuwaingia na wameanza kukubali kile ambacho baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama, tumekijua tokea 1995.
 
Iwe isiwe Magu, Mwinyi watatangazwa washindi tena kwa asilimia zaidi ya 90% na wabunge/madiwani wote watakuwa wa CCM labda Magu aamue kutoa hisani wa wabunge na madiwani kiduchu kwa kadiri itakavyompendeza, maana chama chetu CCM ni chama dola, tuna mbinu zote za ushindi kuanzia ushirikina, wizi, na hata damu za wanadamu.

Miaka mitano itakayoanza masaa machache kutokea sasa itakuwa michungu mnoooo kwa watanzania kwa kifupi masaa machache kutokea sasa miaka mitano ya njaa mnooo inaanza, Magu ndio ataonyesha rangi zake zote na hata ile huruma kidogo ambayo ccm huona anayo nayo itatoweka. Kama kuna ambaye anafikiri eti kuna nafuu inakuja nampa pole. Asomaye na afahamu.
 
Iwe isiwe Magu, Mwinyi watatangazwa washindi tena kwa asilimia zaidi ya 90% maana chama chetu ccm ni chama dola, miaka mitano itakayoanza masaa machache kutokea sasa itakuwa michungu mno kwa watanzania kwa kifupi masaa machache kutokea sasa miaka mitano ya njaa inaanza, kama kuna ambaye anafikiri eti kuna nafuu inakuja basi panapo uhai tukutane 2025 kipindi kama hiki.
2025 mambo yatakuwa hivi hivi kama yalivyo sasa.
 
2025 mambo yatakuwa hivi hivi kama yalivyo sasa.
No 2025 things will be different kama Tundu Lissu atakubali matokeo na kufuata ushauri wa Mzee Mwanakijiji

P
 
Makamanda ndembendembe, siku za nyuma walikuwa wanajaza comments humu kuwa hatutakubali. Sasa hivi wamekuwa wapole, sijui nini kimewatokea wanasema "ila CCM wamejifunza"
 
No 2025 things will be different kama Tundu Lissu atakubali matokeo na kufuata ushauri wa Mzee Mwanakijiji

P
If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.

Nini maana yake?

Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu.
 
Ni kweli kuna uwezekano mkubwa tu yakawa kama hivi, maana nguvu ya kukiangusha chama chetu ccm watanzania wanataka itoke nje badala ya wao kufight. Hawataki kulipa gharama
💯%
 
Makamanda ndembendembe, siku za nyuma walikuwa wanajaza comments humu kuwa hatutakubali. Sasa hivi wamekuwa wapole, sijui nini kimewatokea wanasema "ila ccm wamejifunza"
Mkuu wako mbendembende lakini huyu Magu na ccm yetu hakika inaenda tenda mambo ya hovyo kupita ambavyo inatenda sasa kumbuka hata wale wenye ujasiri wa kukemea uovu wa ccm yetu nao watakaa kimya ataachwa mtu 1 anarun show, atakuwa anasifiwa na kuabudiwa. Yaani kuna sheria za hovyo mno zinakuja soon stay tuned.
 
Sometimes nawaza kwamba kama CCM hawawezi kuweka fairness katika maswala ya siasa na chaguzi basi tuwe kama China na chama chao cha kicommunist.

Seems to me kwamba multiparty democracy zinahitaji watu waliokomaa kuvuka viwango vya ubinafsi, na nchi zetu hizi watawala hawawezi kuachia madaraka hivi hivi eti kwa sanduku la kura tu. Kwanza mfumo wa vyama vingi ni kama tulilazimishiwa tu.

Na hapo sijaenda kwenye hoja. Maana kama ningekuwa mshauri wa chama kikuu cha upinzani, ningewaambia kwamba baadhi ya hoja zenu nyingine ziko too radical kiasi cha kuwafanya watawala waliopo kufanya "kila linalowezekanika" kuhakikisha misingi ya nchi haivunjwi. Hata Jakaya (kiongozi aliyekuwa tayari walau kucompromise misingi na kuacommodate upinzani) wapinzani walipomfikisha eneo la kuyumbisha misingi mikuu ya nchi ikabidi astuke na kuwafukuzia mbali.

Sasa changanya ubinafsi na uroho wa madaraka + utawala wa CCM kuogopa misingi ya nchi kuvunjika chini utawala tofauti. If you can't fight'em join'em!
 
If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.
Nini maana yake?
Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu...
I agree with you, and that is the scientific formula, ya scientific experiment, ukifanya experiment ile ile kwa kutumia reagents zile zile kwenye mazingira yale yale, utapata matokeo yale yale, na kama kuna anayetegemea matokeo tofauti, huyo sio mzima!,

2025, lots of things will change.
P
 
Haya maneno ndio yalibidi yawe siku zote. Ila hapo kabla, tulisikia humu kuwa mwaka huu wapo tayari kufa kuhakikisha ccm haishindi uchaguzi
Mkuu wako mbendembende lakini huyu Magu na ccm yetu hakika inaenda tenda mambo ya hovyo kupita ambavyo inatenda sasa kumbuka hata wale wenye ujasiri wa kukemea uovu wa ccm yetu nao watakaa kimya ataachwa mtu 1 anarun show, atakuwa anasifiwa na kuabudiwa. Yaani kuna sheria za hovyo mno zinakuja soon stay tuned.
 
Back
Top Bottom