IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

The late Ali Mufuruki proffession yake ilikuwa mechanical engineer ba siyo the so calked IT. Ali graduate in Germany ila alikuwa na interest in computers. I worked with him for almost four years so I should know.
 
Compare and contrast. Bill Gates Havard University drop out and a billionare. On the other hand Richard Matgew Stallman Havard Univesity and Massachusetts Institute of Technology worth USD 9m Founder of Free Sotware. My point is one is a businessman and the other is a Software Engineer. If you want to ve a billionare IT is not your cup of team
 
Mfano mzuriii wa IT mbabaishajiiii ni ww ... Nilishawaiii kukupatia project ya ecommerce ikakushinda . Ukizingizia disk ime corrupt
 

sio kwamba ni bifu ila NALA ana jina kubwa kuliko kazi, wewe mara ya mwisho umetumia nala ni lini, jamii forum naweza sema ndo iliofanikiwa zaidi kama kampuni
 
Nala wateja wake ni diaspora je wewe ni diaspora au una ndugu ambaye ni diaspora?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
mm sio diaspora but nategemea pia kupokea ela kwa diaspora nkiwa na nala si ndio? unfortunately hata sisi tunaopokea hatujawahi ulizwa kama tunatumia NALA. we mostly use binance labda sjui unanielewa
 

Ni DM mzee
 
Hujawahi kuniangusha mkuu umemaliza mjadara
 
Mi nadhani alichokuwa analenga mleta mada ni kwamba ma IT tunao tanzania,lakini tatizo ni wachache sana wenye kuonyesha ubunifu wa mambo mbalimbali katika hiyo field,sasa anajiuliza why??,,mi naona kuna tatizo nchini mwetu la kutopenda kuwa wajasiriamali hii inatokea karibia kwa kila fani,unajua ujasiriamali ndo utoa wabunifu??,mjasiriamali yoyote anasifa ya kujiajiri maana huku anakua huru kufanya ya ziada,,mjasiriamali lazima aumize kichwa sana katika kubuni jambo,,na watanzania wengi tuko hivyo hatupendi kuumiza vichwa vyetu,tunapenda mteremko..hivyo watu wabunifu wanaibua mambo mapya katika field lazima watakuwa wachache,,lkn nadhani katika nchi nyinginezo na zilizopiga hatua,nadhani Israeli ndo wamefanikiwa katika field nyingi kiubunifu hasa hizi tekinolojia za kisasa,hii ni kutokana na kuumiza kwao vichwa,nadhani na maisha yakuteseka na kuonewa ndo yaliwaimarisha na kuwa hivyo.
 
Mazingira yana mchango mkubwa kuliko kitu chochote katika kufanya mtu afanikiwe. Tz unahitajika mfumo ambao mtu anaweza kulipia digital products kirahisi kwa kutumia hizi simu pesa, wanahitajika mawakala wa matangazo ya mtandaoni, serikali inahitaji kukaa na makampuni makubwa ya Tech ili kuwarahisishia watz kufanya biashara mitandaoni.
 
Hoja hii ni kweli mimi ni mbobezi wa IT na nimeana hii kama changamoto vijana wengi wa IT sio waaminifu It sio hutuma ni power of will and any business with bad will lazima it will fail Karma has it that what you give is what you get.Naamini vijana watatuliza uchu wao wautajiri wa haraka ilitufikie malengo Asnteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…