IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

The late Ali Mufuruki proffession yake ilikuwa mechanical engineer ba siyo the so calked IT. Ali graduate in Germany ila alikuwa na interest in computers. I worked with him for almost four years so I should know.
 
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine

Ni IT wachache mnooooo wameweza kutajirika na ujasiriamali wa digital platdorms. Naemjua kwa sasa ni Nala ila huyu naona anapata boost sana kutoka kwenye familia aliyotoka,, wengine ni yule jamaa wa Max Malipo alilipwa bilioni akanunua range kali sana ya mamia ya mamilioni toka hapo sijamsikia.

Ajabu ni kwamba hadi sasa alieweza kutoboa zaidi wala hakusomea IT, ni mtu aliesomea mambo ya uhasibu ila alikomaa kwenye IT akauza platform yake ya mambo ya kuuza gesi wakampa bilioni 50.

Wengine wapo bize kuiba account za Fb utakuta account ya dada yako inapost picha za uchi huko magroup ya sauzi kumbe kuna jangili anaitumia ili apate pesa za blogging, hapa penyewe wengi wanaambulia milioni kwa mwezi, (wapo wanaopiga hadi 10 ila wachache)
Compare and contrast. Bill Gates Havard University drop out and a billionare. On the other hand Richard Matgew Stallman Havard Univesity and Massachusetts Institute of Technology worth USD 9m Founder of Free Sotware. My point is one is a businessman and the other is a Software Engineer. If you want to ve a billionare IT is not your cup of team
 
IT ni kama taaluma nyingine kama U daktari, Uhandisi au Ualimu

Wenyewe haukufanyi uwe tajiri. Hao kina Mark Zuckerberg na Bill Gate ulio watazama kama mifano, moja hawakusomea IT kama Taaluma, na mbili sio IT iliyofanya wawe matajiri bali ni Entrepreneurship iliyochukua fursa ya soko la Personal computer (kwa Bill Gate) na technology ya World wide web (kwa Zuckerberg)

Pia tambua kuwa kuja na idea ni kitu kimoja, na kuifanya idea yako iwe product iliyofanikiwa sokoni ni kitu kingine

Wenzetu wana ecosystem nzuri mno ya kukuza kampuni changa / startups

Kuna startups marekeni zinapewa pesa nyingi ya kujiendesha kuliko pesa walizotoa DP Worlds kununua bandari zetu hapa

Na wana uwezo wa kuendelea kui support miaka mingi bila Faida

Hapa Tanzania kuna aina hio ya Ecosystem? Nani ni Angel investor hapa? Venture capital?

Jambo jingine, IT industry ya Marekani ni profitable kuliko nchi yoyote ile, so demand ya IT ni kubwa, hivyo mshahara wao ni mkubwa kuliko huku ambapo demand sio kubwa

The reason huku demand sio kubwa ni kwa sababu wafanyabishara wa huku hawaja ona value kubwa kwenye sekta ya IT, biashara zao bado ni Local

Mo anauza Juice na vibiriti.


Halafu hata logic yako bado ni ya kijinga, kutaka IT wa Tanzania wawe na mafanikio sawa na IT wa Marekani

Naweza tumia logic yako kusema Matajiri wa Bongo ni kituko, mbona hawapo top 100 ya Forbes?


Wewe ni taaluma gani kwani? Na una mafanikio kiasi gani?
Mfano mzuriii wa IT mbabaishajiiii ni ww ... Nilishawaiii kukupatia project ya ecommerce ikakushinda . Ukizingizia disk ime corrupt
 
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine

Ni IT wachache mnooooo wameweza kutajirika na ujasiriamali wa digital platdorms. Naemjua kwa sasa ni Nala ila huyu naona anapata boost sana kutoka kwenye familia aliyotoka,, wengine ni yule jamaa wa Max Malipo alilipwa pesa takribani bilioni toka hapo sijamsikia, bila kumsahau Maxence mwanzilishi wa huu mtandao maarufu hapa nchin nae si haba.

Ajabu ni kwamba hadi sasa alieweza kutoboa zaidi wala hakusomea IT, ni mtu aliesomea mambo ya uhasibu ila alikomaa kwenye IT akauza platform yake ya mambo ya kuuza gesi wakampa bilioni 50.

Wengine wapo bize kuiba account za Fb utakuta account ya dada yako inapost picha za uchi huko magroup ya sauzi kumbe kuna jangili anaitumia ili apate pesa za blogging, hapa penyewe wengi wanaambulia milioni kwa mwezi, (wapo wanaopiga hadi 10 ila wachache)

sio kwamba ni bifu ila NALA ana jina kubwa kuliko kazi, wewe mara ya mwisho umetumia nala ni lini, jamii forum naweza sema ndo iliofanikiwa zaidi kama kampuni
 
Nala wateja wake ni diaspora je wewe ni diaspora au una ndugu ambaye ni diaspora?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
mm sio diaspora but nategemea pia kupokea ela kwa diaspora nkiwa na nala si ndio? unfortunately hata sisi tunaopokea hatujawahi ulizwa kama tunatumia NALA. we mostly use binance labda sjui unanielewa
 
System hairuhusu startup kufanikiwa. Ukiona mtu ametoboa kwenye IT nchi hii ni yule ambaye yupo na financial support au connection ya kumwezesha kufika juu.

Kuna startup nipo nayo, lakini kila nikijaribu kuipush kuunganisha na system za fedha kama banks, mobile money wanahitaji a lot of documents ambazo kwa startup siwezi kuwa nazo au ili niwe nazo lazima mifuko itoboke kwa kiwango cha kutosha and they say ni matakwa ya BOT.

Ili tuweze kufanikiwa kwenye Tech industry kwa Tanzania, ni lazima tuwe na systems zinazo support maendeleo ya startups kuanzia kwenye policy, financial support, tech-minded leaders na sio wazee ambao they know nothing or they don't have any exposure to technology.

ahsanteni.

Ni DM mzee
 
Hata huko nje Ma IT sio Matajiri, IT sio field ya kumfanya mtu awe tajiri, wapo waliosoma IT wachache ambao pia wana vipaji vya Ujasiriamali wametoboa kwa kujiajiri.

Pia Tanzania wapo IT wengi wametoboa, pengine tunao wengi kuliko Nchi nyengine za Ki Africa.

Marehemu Ali Mufuruki Founder wa Infotech, aliwahi kumiliki Part ya Vodacom, Yeye pia ndio alituletea Fiber Zuku. Huyu jamaa alikua ni Tajiri kucompete Na Kina Mengi, Manji, Bakhresa etc. Moja ya IT wakubwa kabisa kutokea Africa na speech zake TED na kwengineko zinaangaliwa na mamilioni


Zipo kampuni kama Nala, Max Malipo, Selcom etc zimefanya vizuri tu.
Hujawahi kuniangusha mkuu umemaliza mjadara
 
Mi nadhani alichokuwa analenga mleta mada ni kwamba ma IT tunao tanzania,lakini tatizo ni wachache sana wenye kuonyesha ubunifu wa mambo mbalimbali katika hiyo field,sasa anajiuliza why??,,mi naona kuna tatizo nchini mwetu la kutopenda kuwa wajasiriamali hii inatokea karibia kwa kila fani,unajua ujasiriamali ndo utoa wabunifu??,mjasiriamali yoyote anasifa ya kujiajiri maana huku anakua huru kufanya ya ziada,,mjasiriamali lazima aumize kichwa sana katika kubuni jambo,,na watanzania wengi tuko hivyo hatupendi kuumiza vichwa vyetu,tunapenda mteremko..hivyo watu wabunifu wanaibua mambo mapya katika field lazima watakuwa wachache,,lkn nadhani katika nchi nyinginezo na zilizopiga hatua,nadhani Israeli ndo wamefanikiwa katika field nyingi kiubunifu hasa hizi tekinolojia za kisasa,hii ni kutokana na kuumiza kwao vichwa,nadhani na maisha yakuteseka na kuonewa ndo yaliwaimarisha na kuwa hivyo.
 
Mazingira yana mchango mkubwa kuliko kitu chochote katika kufanya mtu afanikiwe. Tz unahitajika mfumo ambao mtu anaweza kulipia digital products kirahisi kwa kutumia hizi simu pesa, wanahitajika mawakala wa matangazo ya mtandaoni, serikali inahitaji kukaa na makampuni makubwa ya Tech ili kuwarahisishia watz kufanya biashara mitandaoni.
 
Hoja hii ni kweli mimi ni mbobezi wa IT na nimeana hii kama changamoto vijana wengi wa IT sio waaminifu It sio hutuma ni power of will and any business with bad will lazima it will fail Karma has it that what you give is what you get.Naamini vijana watatuliza uchu wao wautajiri wa haraka ilitufikie malengo Asnteni
 
Back
Top Bottom