BOB OS
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 3,440
- 6,881
kwani hujui most sites nyingi kule wanaozirun ni feds..Mkuu yamekuwa haya😂
ukiingia kiboya unakula za kichwa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hujui most sites nyingi kule wanaozirun ni feds..Mkuu yamekuwa haya😂
Ina maaana humo humo darkweb kuna website zake si ndio?kiukweli sijawahi kuelewa darkweb ipoje ipojeSawa ili ujibiwe usiwe specific maana waTZ wamekalilishwa kuwa mtu yyt anaesomea Computer related studies ni IT.
Jibu ni hapana Kuna computer scientists, software engineers, CyberExperts na kada nyingine. IT ni professional ya aliyesoma Bachelor ya IT yaani information Technology na wanasoma wanapalaza sio deep kivilee. IT Anajua kwa juu Juu tu baadhi ya vitu hasa hasa computer maintenances.
Now tukija kwenye swali lako La kwanini watz hawatengenezi Dark web websites?
Dark web ni mahala sensitive sana penye uhitaji wa high security why because of continous cyber war and attacks. Sasa TZ kuna server farm nzuri kiasi icho. Jibu No na Je TTCL wataweza Ku host website yako yenye surfers wa darkweb jibu ni No.
lakini bado darkweb kazi wanaoingia kule wanafanya kazi maalum na za usiri mkubwa na hawaendi kule kuchati tu.
Kuanzisha darkweb website lazima uwe na lengo. Je lipo au una biashara haramu na watz walivyowoga duuuh ndio kabisaaa ila I recall one incident nilikuta Buffalo horns ziko onsale na unalipia kwa bitcoins na ziko specified zilikotoka Moja ya mbunga ya wanyama kanda ya ziwa
NB: Ukitaka kujua TZ kuna watu wa Bad jipange na ingia darkweb website weka tender na utoe Masharti kuwa unataka awe mtz ashushe server ya kampuni kubwa halafu weka mzigo wa kutosha. Utaona reply utakazopata.
NAKUPA USHAURI BURE... Ukiwa mpenzi Wa kwenda darkweb then Ziba PC Camera UTANISHUKURU
Yap website ni mfanano ila zina Domain name extension tofauti kama za kawaida mfano .com .co ila kuna browsers special zinaweza kukuwezesha kusurf kupitia hizo domain extension ila Chrome na nyinginezo huwezi.Ina maaana humo humo darkweb kuna website zake si ndio?kiukweli sijawahi kuelewa darkweb ipoje ipoje
Naona wamewaandama sana ma IT wa Bongo. Nasubiri siku mtu aombe msaada, ma IT wa Bongo watamshukiaje?Ila wabongo mna matatizo acha nikae kimya
Mkuu usikae kimyaIla wabongo mna matatizo acha nikae kimya
Hivi maIT wa bongo na wa Burundi wapi wana unafuuNaona wamewaandama sana ma IT wa Bongo. Nasubiri siku mtu aombe msaada, ma IT wa Bongo watamshukiaje?