IT wa bongo mbona hamuanzishi platforms dark net?

Ina maaana humo humo darkweb kuna website zake si ndio?kiukweli sijawahi kuelewa darkweb ipoje ipoje
 
Sasa ata wakiwemo utawajuaje? Kuhusu matumizi ya kiswahili sio jambo lenye afya sana maana sio lugha inayoeleweka na watumiaji weng.
 
Ina maaana humo humo darkweb kuna website zake si ndio?kiukweli sijawahi kuelewa darkweb ipoje ipoje
Yap website ni mfanano ila zina Domain name extension tofauti kama za kawaida mfano .com .co ila kuna browsers special zinaweza kukuwezesha kusurf kupitia hizo domain extension ila Chrome na nyinginezo huwezi.
Unaweza tumia Tor browser na usisahau VPN ili Feds na Hackers wanaojifunza wasije kukunyima privacy
 
Asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na hizo activies za dark net ni vijana jobless ila wana base nzuri ya computing, kwa mtu ambae ni professional ni nadra sana kumkuta akijihusisha na shughuli hizo labda awe funded na secret organizations for a purpose. Kwahiyo hata hapa bongo skillful graduates wengi hawawezi kupoteza muda kwa vitu visivyo na tija, watu wengi wenye kuweza kufanya illigal activities hawana background nzuri za computer zaidi ya kucheza games.
NB. kuweza kufanya kitu chenye tija kwenye dark net na kuishinda censoring, inahitaji a lot of investment; wabongo hawatakagi ku risk.
 
Si tumekwisha kubaliana IT wa Bongo ni ziro, sifuri matapeli n.k. Sasa unataka ma IT gani hai wafanye hayo mambo?

 
Kuwa wewe IT kama unaona wengine hawana uwezo.

Bongo tumezoea kuponda tu utasikia wachezaji hawajui mpira, waimbaji hawajui mziki, wanasiasa hawajui walitendalo anayesema yote hayo anaponda tu ila yeye hawezi kufanya.

Usipotaka kufanya jambo wewe mwenyewe kwa uweledi kubali kufanyiwa na yeyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…