It will be suicide for America to attack Iran

War is more complex than you think.Sio swala la madege na mameli.Ni swala la logistics.Kama tangu World War II Marekani hawajawahi kushinda vita,what makes you believe they will win a war now.Wameshindwa hata na Vietnam ndio wataiweza Iran kweli.No way.

Watu waliomchagua idiot kama Trump awaongoze wanaweza kuwashinda watu makini kama Wairan kweli,haiwezekani.

Mkuu Trump ni idiot,yaani ameushangaza ulimwengu aliposema watu wadungwe sindano za disinfectant kuua coronavirus,hii ni ya mwaka.Sasa ukiwadunga sindano za disinfectant si ndio unawamaliza kabisa.

Acha kudanganya watu .
Unasemaje US Haijawahi Kushinda Vita?
Without doubt kwenye Iraq War Sadam Hussein Alishinda? Sadam Hussein Yuko Wapi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Iran is powerful yes, but not as you put it. Iran ingekuwa that powerful US officials wasingepata guts za kumuua Soleimani ambaye alikuwa the most influential figure in the Iranian Military.

Yaani Suala la US kumuua Soleimani ni sawasawa na US kuishika makalio Iran na inatosha kabisa kuthibitisha Iran kuwa siyo that powerful kama unavyoiweka. Yaaani Top Iran Military Officer anauliwa anaishia kuattack a military base tena without a single death. Kwanini Iran wasinge-retaliate kwa kumuua mtu kama Michael Grinston ambaye ni top official kwenye Jeshi la US? Wakaishia kulialia tu.

Ngoja nikuulize hivi Unahisi Nini kitatokea Leo kama US ikimuua mtu kama Park Jong Chon ambaye ni kama Soleimani kwa North Korea?
Na unahisi Nini kitaipata US ikijaribu kufanya hivyo?

Mnaikuza Sana Iran.
Msome upya soleiman na umlingsnishe upya na park

IRAN kama angekua Mdhaifu Kama Mnavyomsemea Asingethubutu Hata Kuijaribu US kwakuripua Kambi Zake Maana Anajua Baada Ya Hapo Mnamuona Nakumkuza Yakwamba Mbabe Wavita US angemuadhibu Vibaya Sanaa

US nayeye Kama Angekua Anamaguvu Kama Mnavyomsifu asingeacha Kuiadhibu IRAN baada Yakuona Wameshambulia Kambi zake

IRAN Angekua Wakawaida Asingeteka WANAMAJI wa US Angekua Wakawaida Asingelipiza Kuteka Meli Ya UK baada Ya UK kuteka Meli Yake Na Akawaambia Kabisa Kama Meli haitoki mpaka watakapoachia MELI yao nabaada Ya meli Yao Kuachiwa Huru Wakakaa Week Mbili Kabla Kuuachia Meli Ya UK

Kuna Mataifa Machache Sana Yanayoweza Mambo Makubwa Kama Anayofanya IRAN tena Hata Matano Hayavuki

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23] Doooh kwamba US iliikimbia Somalia? Yaaani nchi iliyoisambaratisha Islamic State kumuua Al baghldad, US iliyomuua Osama na kuiteketeza Al Qaeda ndo ishindwe hapo Somalia?

Vitu vingine ni interest tu mkuu hakuwa Na Interest hapo Somalia. US was wrong kuwepo in that war in the 1st place.
Yaani awali wakati wanataka kuingia vitani walikua hawajui kama watakua wapo wrong ama [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna mambo yanachekesha sana yaani wewe unajua kama walikua Wrong Halaf CIA wasijue [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran kupigwa na US ni kama kuua mende kwa nyundo, Iran atatandikwa na Saudi Arabia na huo ndo utakuwa mwisho wa mashia.

Sent using Jamii Forums mobile app
SAUDI ARABIA Apigane Na HOUTH kwanza Anahangaika Nao Mwaka Wangapi Huu

US Anatamani Kumpiga MUAJEMI ila Anajua Khatma Atakayokumbana Nayo Anabakia Kubweka Tuu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAUDI ARABIA Apigane Na HOUTH kwanza Anahangaika Nao Mwaka Wangapi Huu

US Anatamani Kumpiga MUAJEMI ila Anajua Khatma Atakayokumbana Nayo Anabakia Kubweka Tuu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]

Sent using My COVID-19
Hatuui mende kwa nyundo, saudia Arabia atayasambaratisha mashia na huo ndo utakuwa mwisho wa uislam kuchafuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msome upya soleiman na umlingsnishe upya na park

IRAN kama angekua Mdhaifu Kama Mnavyomsemea Asingethubutu Hata Kuijaribu US kwakuripua Kambi Zake Maana Anajua Baada Ya Hapo Mnamuona Nakumkuza Yakwamba Mbabe Wavita US angemuadhibu Vibaya Sanaa

US nayeye Kama Angekua Anamaguvu Kama Mnavyomsifu asingeacha Kuiadhibu IRAN baada Yakuona Wameshambulia Kambi zake

IRAN Angekua Wakawaida Asingeteka WANAMAJI wa US Angekua Wakawaida Asingelipiza Kuteka Meli Ya UK baada Ya UK kuteka Meli Yake Na Akawaambia Kabisa Kama Meli haitoki mpaka watakapoachia MELI yao nabaada Ya meli Yao Kuachiwa Huru Wakakaa Week Mbili Kabla Kuuachia Meli Ya UK

Kuna Mataifa Machache Sana Yanayoweza Mambo Makubwa Kama Anayofanya IRAN tena Hata Matano Hayavuki

Sent using My COVID-19

😂 😂 😂 😂 Yaaani mkuu hujajibu hoja yangu hata moja yaaani Umeeka data juu ya data. Iran is overrated mkuu. Yaani Iran haingii hata Kwa Wasaudi. Si umeona Yemen Saudi anavopelekesha watu wakati Iran ndo Kwanza inaogopa hata kujitangaza kuwa na inasupport wahouthi.

Iran unaiyona kubwa kwa kuwa kwa Sasa ina mgogoro na marekani alafu inaripotiwa Sana kwenye international platforms unaeza kuta hata hizo missiles Hana. Ni intimidation tu.

Ni kama tu kipindi kile Iraq walikuzwa weeee Tena Kuna kipindi Sadam akasema Ana Nuclear Nzito kuliko US. US ikaogopa. At the end US ikatuma Few Troops wakaanza Kuhaha. Iran hata Kwa wa Saudi bado ni Ile tu Saudi haina mgogoro na marekani siku Saudi ikiingia mgogoro na US utasema haya haya.

Ntaishia Hapa.
 
Mkuu Iran is powerful yes, but not as you put it. Iran ingekuwa that powerful US officials wasingepata guts za kumuua Soleimani ambaye alikuwa the most influential figure in the Iranian Military.

Yaani Suala la US kumuua Soleimani ni sawasawa na US kuishika makalio Iran na inatosha kabisa kuthibitisha Iran kuwa siyo that powerful kama unavyoiweka. Yaaani Top Iran Military Officer anauliwa anaishia kuattack a military base tena without a single death. Kwanini Iran wasinge-retaliate kwa kumuua mtu kama Michael Grinston ambaye ni top official kwenye Jeshi la US? Wakaishia kulialia tu.

Ngoja nikuulize hivi Unahisi Nini kitatokea Leo kama US ikimuua mtu kama Park Jong Chon ambaye ni kama Soleimani kwa North Korea?
Na unahisi Nini kitaipata US ikijaribu kufanya hivyo?

Mnaikuza Sana Iran.
No hatuikuzi Iran,ila ni kweli imekua sana kijeshi.Hatusemi it is as powerful as the US hapana,na hii imeonyeshwa wazi kwenye bandiko, ila US kuishambulia Iran,ni lazima Marekani ifikirie mara mbili,wanaweza kupata damage kubwa sana.

Iran has good weaponry,askari wa Iran wana akili,wana high morale na uzoefu.Infact naweza kusema they are war hardened.

Kitu kingine kizuri ambacho askari wa Iran wanacho,ni wananchi wao,wanawapenda.Hii inawaongezea courage na zeal.Hii ni tofauti kabisa na askari wa Marekani.Kwanza most Americans,na hata askari wenyewe, do not appreciate what they are doing.Wanaona tu kama wanaonea mataifa mengine and are occupiers,kwa hiyo hawapendi hasa wanalolifanya,and they are right.Hali hii ikichanganywa na the fact that most American soldiers are mercenaries, you have an army whose morale is very low.Na ndio maana they loose in many wars.The Americans have never really won a war since World War II.
 
Nimekuelewa mkuu ila kwenye Iraq War against Sadam Hussein, US pia ilishindwa?
 
Iraq was a devastated army already by then,si unakumbuka walikuwa wametoka kwenye vita na Iran.Kumbuka pia kwamba Marekani hawakuwa wenyewe katika vita ile,that was a coalition.Uingereza walikuwepo,Canada nk.nk.
 
Back
Top Bottom