Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
War is more complex than you think.Sio swala la madege na mameli.Ni swala la logistics.Kama tangu World War II Marekani hawajawahi kushinda vita,what makes you believe they will win a war now.Wameshindwa hata na Vietnam ndio wataiweza Iran kweli.No way.
Watu waliomchagua idiot kama Trump awaongoze wanaweza kuwashinda watu makini kama Wairan kweli,haiwezekani.
Mkuu Trump ni idiot,yaani ameushangaza ulimwengu aliposema watu wadungwe sindano za disinfectant kuua coronavirus,hii ni ya mwaka.Sasa ukiwadunga sindano za disinfectant si ndio unawamaliza kabisa.
Acha kudanganya watu .
Unasemaje US Haijawahi Kushinda Vita?
Without doubt kwenye Iraq War Sadam Hussein Alishinda? Sadam Hussein Yuko Wapi?