Kuna kitu kama kinachemka hivi ndani.
Tafuta ela zako mwenyeweWrite your reply...acha umbea mke wa kaka ananilelea na ela za kaka ako unadhani ukimwambia mimi ntakula wapi marioo wa watu hapa town ifikie kipindi wanaume tuwe tunaoneana huruma................. SENT BY TECNO AMBER RUTTY USING JAMIIFORUMS
Unajua orodha ya michepuko ya kaka ako?Ni mada mbili tofauti,na huyo kakangu ndo aliyenisomesha mpaka hayo mafanikio yote hayo nimefanikiwa kwa msaada wake kwangu,ila kwa hali kama hii inaumiza hata ungekuwa wewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kesi imeharishwa akuonekana mahakamaniIssue yako na mfanyabishara mwenzako imefikia wapi?
Sijui,ila jamaa ni mstarabu sana,sijui lknUkija gundua Kaka yako naye anarukia wake za watu huko....utamwambia mkewe? Acha umbea
Alafu futa maneno yako,mi nakaa kwangu,nimejenga kwa pesa zangu mwenyewe,kwa kaka yangu ni ukuta tu ndo umetutenganisha,yawezekana hata uchumi nakuzidi,acha kuropoka dadaUlikuja hapo kwa kazi hiyo??! Kijijini kwenu mashamba yameisha mpaka unang'ang'ania kukaa kwa kaka ako. Au na wew unataka kidogo?!!
Kwanza wewe unayajua anayofanya kaka yako akiwa huko anapokwendaga?! Chunga sana miaka 20 si midogo
Watu mnakumbukumbu duuUtaweza kweli kufungua kituo cha mafuta wewe?
Ndo hayo tunaelewa kuhusu wanawake,hayo yametokea sana..ndo mana nimemwambia mtoa mada awe makini..anaweza hadi akavunja undugu na ndugu yake kisa huyo mwanamke.Mkuu umenikumbusha mbali, kuna dogo mvulana, nilikuwa namwelewa sana na kumshauri juu ya mambo yake ya kimaendeleo. Alikuwa akifanikiwa sana.
Akapata mchumba. Dada kamaliza O'level wakati dogo aliishia tu la saba. Penzi likamchanganya akawa kipofu, haoni upande wa pili wa mchumba wake.
Siku moja nilishuhudia uchafu wa yule binti. Na wengine waliokuwa wanamfahamu vema wakaniambia kuwa ndo tabia zake za kila mara.
Nilimwuliza dogo kama ameamua yule binti awe ndo mke wa kuishi. Akasema anampenda sana na anataka afunge nae ndoa. Nikamwambia afikirie kwa makini juu ya uamuzi wake na anipe jibu. Akasema hahitaji kufikiri zaidi wala kushauriwa, ameshafanya uamuzi.
Muziki ulikuja hivi. Dogo alikwenda kumwambia binti kuwa nimemwuliza niliyomwuliza. Binti akanigezia kibao kuwa nimekuwa namtaka siku nyingi sana na kwamba yeye alikuwa anakataa.
Dogo alinijia juu na kunitukana sana. Nilimwomba radhi hakutaka kunielewa. Tukakata mawasiliano.
Ila yaliyomkuta kwenye ndoa yake anajua yeye, alikuja kuomba ushauri afanyaje. Nilimwambia tu avumilie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawashwa wewe! Eti roho yako itatulia. Kwani wewe ni mke mwenza hadi uumie?
Unawashwa wewe! Eti roho yako itatulia. Kwani wewe ni mke mwenza hadi uumie?
Maisha ya wanandoa ni ya kwao wenyewe waache fanya yako. Hivi itakuwaje ukishamwambia kaka ako then akachukulia poa na maisha yakaendelea huyo shemeji yako utaangaliana nae vipi?
Mie naona wivu tu wa kike umekujaa,Ushasema ni kaka ako ndio aliyekusomesha ni wivu tu unakusumbua vile unamuona shem wako anafaidi.
Fanya uoe Mkuu, Uwe busy ma maisha yako. Ipo siku Mungu mwenyewe atamuona kaka ako usaliti anaofanyiwa.