Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Umesema shemu wako ni mwanamke anaepewa kila kitu na bro wako ila umesahau kitu kimoja.....anamiss mapenzi, bro wako ni mtu wa kusafiri kila mara, sasa yeye atapata wapi huduma.
Kuna kiapo cha ndoa lazima kiheshimiwe,jamaa anasafiri kikazi ikumbukwe! mfano Mr wake magonjwa wa stroke ndiyo afanya uzinzi!! Malaya ni malaya tu, hata kama Mr anasafiri sana hasipofanya hafi.
 
Ni mada mbili tofauti,na huyo kakangu ndo aliyenisomesha mpaka hayo mafanikio yote hayo nimefanikiwa kwa msaada wake kwangu,ila kwa hali kama hii inaumiza hata ungekuwa wewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukuru huyo shemeji hakumwaribu kaka yako akawatenga ndugu zake
Hicho ni kifaa chake hakikuhusu
 
Kuna kiapo cha ndoa lazima kiheshimiwe,jamaa anasafiri kikazi ikumbukwe! mfano Mr wake magonjwa wa stroke ndiyo afanya uzinzi!! Malaya ni malaya tu, hata kama Mr anasafiri sana hasipofanya hafi.
Dah.....ukweli mtupu
 
Duuh
 
Kuna kiapo cha ndoa lazima kiheshimiwe,jamaa anasafiri kikazi ikumbukwe! mfano Mr wake magonjwa wa stroke ndiyo afanya uzinzi!! Malaya ni malaya tu, hata kama Mr anasafiri sana hasipofanya hafi.
Naam
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…