Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Screenshot_20241023-132420.png
 
Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu
UN ndiyo wamesema hivyo. Wamesema kuwa utafiti wao umeonesha itachukua miaka 350 kurudisha maisha ya Gaza kama yalivyokuwa.

Kama kifusi tu itachukua miaka 14, vipi kurudisha maisha ya kawaida pale Gaza?
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Katika world ll mji wa convetry, London Berlin ulikua destroyed level ya carpet ila baada ya marshall plan ndani ya miaka 10, mji wa London Coventry ni mizuri kuliko mji wa dar es salaam, au Mwanza ambao haikuathirika na vita ya pili ya dunia,.....what matters ni pesa ambao waarabu wako tayari kutoa, sema uhai wa watu ndo basi kwote kwote israel na palastine.
 
Back
Top Bottom