Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Covax kujenga majengo ya mji na kujenga mji ni mambo mawili tofauti. Ndiyo maana Kuna ile miji inaitwa "Ghost Cities".
Sawa na kuelewa mkuu kweli Ulaya kuna ghost towns ila sio kwasbb ya destruction ila kwasbb ya industrial transformation patterns kama kuhamisha viwanda malighafi nk, na watu wanahama ili kutafuta ajira ila majengo yana baki bila watu, ili haliwezekani kwa waarabu population inaongezeeka kwa kasi sanaa. Wa palasitine tu walioko Jordan Lebnon ni zaidi ya 6m, Israel aliwakataza kurudi makwao, kwa hofu demographic advatanges.
 
Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu kusahaulika

Its not easy brother, hizo rubbles kuzitoa tu ni ages halafu kumbuka manpower ya wapalestina ni kama imefutwa kabisa, then hamna cha shule wala hospitali imebaki! Pesa pekee hata wakipewa haitajenga na atapewa nani? Hamas au? Na ipo wapi? Haya ni majibu meepesi sana kwa situation complex kama hii.
 
majengo hayana maana kama hauko huru!.

Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka miatatu kwa hela ya gesi
Nchi za Africa nyingi zina uhuru ikiwemo Tanzania ila angalia maisha yetu, miji inakisa hata maji safi na salama, barabara, muhimu ni pesa, mji wa ghaza ulikua mzuri kuliko mji wa Dar es salaam kwasbb wana pesa sio uhuru
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Ile kauli ya Netanyahuh baada ya shambulio la 7/10/2023 ilikuwa ya kutisha,, nikadhani ni vitisho na hawatafanya lolote. Maana alisema watakachowafanyia Hamas na Palestine itakuwa HISTORIA kwa miaka 50 ijayo.
 
Kauli za natanyahu ni za kisiasa zaidi ili aendelee kua waziri mkuu alishawahi kusema kwamba Hamas haitakuja kutawala ghaza, lakini mpaka leo ina tawala alisema Hezebollah atawatoa Lebnon ndani ya miazi 6 ulisema hilo mwaka 2006, ila mpaka leo wapo wana mtesa.
 
Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi Israel
Unataka kusema Wapalestina wa Gaza wameishi kwenye uharibifu huu uliopo sasa tangu huo mwaka ulioutaja?

Pia, umetumia chanzo kipi cha takwimu kusema kuwa Waisraeli wengi wana dual citizenship? Ukisema "wengi" maana yake ni zaidi ya 50% ya raia wote.
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 😂😂😂
 
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 😂😂😂
Unacheka kama jinga ilhali waarabu wenzako huko wanalambishwa mchanga kwa malaki kisa uwendawazimu wa Hamas kushambulia Oktoba 7!!!
 
Back
Top Bottom