Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Sasa Hamas wamepata faida Gani kuteka Watu na Kuua alafu Kinachokukuta Wewe Ni maangamizi dhidi yako Inawezekana Hawakukaa chini na Kutafakali Njia wanazotumia kudai Wanayoyataka Kwa Amani na Uhuru na Huku maisha Yaende mbele na Maendeleo Yao yangewapa Uhuru na Amani Ila Sasa Ni Majuto ingawa hawawezi kusema hadhalani
 
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 😂😂😂

Wanajenga Kama nani? Ile ni occupied territory ya Israel.
 
Ajiandae kwa muonekano huo wa Gaza kama akijitingisha kiuno mbele ya Iran.
 
Inabidi Gazans wakubaliane na uhalisia kuwa tayari hawana chao, wakubali kuwa sehemu ya Israel au waachane na igaidi
 
Its not easy brother, hizo rubbles kuzitoa tu ni ages halafu kumbuka manpower ya wapalestina ni kama imefutwa kabisa, then hamna cha shule wala hospitali imebaki! Pesa pekee hata wakipewa haitajenga na atapewa nani? Hamas au? Na ipo wapi? Haya ni majibu meepesi sana kwa situation complex kama hii.
atapewa fatah ya akina abbas wependa amani huko ramallah
 
Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu kusahaulika
Hayo mauaji yaliyofanyika huko Gaza yatazalisha kizazi kipya kilichojaa chuki na itikadi kali miaka ijayo.
 
Walokole wengi wa JF na Wagalatia akili hamna kabisa acha kina Mwamposa wapige pesa.

Ukanda wa Gaza una urefu wa kilomita 41 (maili 25), kutoka 6 hadi 12 km (3.7 hadi 7.5 mi) kwa upana, na ina jumla ya eneo la 365 km2 (141 sq mi). Ikiwa na takriban Wapalestina milioni 2 kwenye takriban kilomita za mraba 365 (141 mi) ya ardhi, Gaza ina mojawapo ya msongamano mkubwa zaidi wa watu duniani.

Kuna mlokoke anawambia Gaza itajengwa miaka 360
 
Israel iliondoka Gaza 2005 Wapalestina wakaamua kuwachagua Magaidi wa Hamas na ukawa ndio Uchaguzi wa mwisho na sasa Israel wanampango wa kubakia Gaza milele.

Uidiot umewaponza Waarabu wa Palestina.
Hawajasema 'milele' mkuu.

Wamesema watakaa Gaza kama Tz ilivyokaa Ug baada ya vita vya Amini.

Watapanga muda wa kusalia huko mpaka watakapohakikisha kuwa wamesafisha kabisa masalia ya Hamas na kusimika utawala mamluki wanaoutaka na kuna hatari utawala wa Gaza kukabidhiwa West Bank.

Watafundisha upya jeshi na kuweka mapandikizi kila idara.

Kazi hiyo kaapa kuifanya hadi Lebanoni.

Muda ndiyo utakaoongea.
 
Back
Top Bottom