Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Unacheka kama jinga ilhali waarabu wenzako huko wanalambishwa mchanga kwa malaki kisa uwendawazimu wa Hamas kushambulia Oktoba 7!!!
Mimi na wewe shoga sijui nani anachekesha ulivyokuwa punguani hujui lolote unajua vita vya Gaza vimeanza October7 utakuwa upo period wewe unaharisha.

Nimekujibu hivi sababu unatafuta sifa JF kunishambulia karibu sana huu ndiyo utaratibu wangu JF miaka yote.

😂😂
 
Walokole wengi wa JF na Wagalatia akili hamna kabisa acha kina Mwamposa wapige pesa.

Ukanda wa Gaza una urefu wa kilomita 41 (maili 25), kutoka 6 hadi 12 km (3.7 hadi 7.5 mi) kwa upana, na ina jumla ya eneo la 365 km2 (141 sq mi). Ikiwa na takriban Wapalestina milioni 2 kwenye takriban kilomita za mraba 365 (141 mi) ya ardhi, Gaza ina mojawapo ya msongamano mkubwa zaidi wa watu duniani.

Kuna mlokoke anawambia Gaza itajengwa miaka 360😂
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Kwa kutumia technology gani?

Hapo ni suala pesa tu.
Kwa wahandisi wa sasa hivi na modern technology, hata miaka kumi haifiki.
 
Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi Israel
Hiv unajua unachokiongea mzee. Kwa taarifa yako wayahud maisha yao yote hapa dunian wamepitia life la vita tu na siku akiacha vita amekwisha.
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.

Mh miaka 350 wameria chumvi sana..
Kwa Dunia ya sasa ya teknolojia ikiwekqa pesa ya maana.. mpen mchina 20 years tu muone Gaza itaoavyokuwa.. sasa hv sio kioindi cha kuwasiliana kwa Fax na telegram.

Labda kama plan yao ni kujustify Israel kukalia gaza kwa kisingizio Cha kuijenga gaza.. kama wanadai ni miaka 350.. Basi maana yake wanampango wa kuwahkikisha Israel anaikalia hiyo gaza for the rest of the human lifetime.. na had hiyo miaka 350.. kutakuwa kuna muingiliano mkubwa kati ya wapalestina na jews ambao utashusha mihemuko hii tunayoina

Naamini a lomg term solution wameona ni kuhakikisha palestina ya 200 years to come ni mchanganyiko wa jews na arabs..

Waisrael kwa ku penatrate na kuchanganya damu na mataifa mengine kwa ajili ya security ya vizaz vijavyo hiyo michezo wanaiweza sana..

Leo hii powerfull countries huko europe wanao pull the strings wana vinasaba na jews.. kuanzia Urusi, france, UK, had US and Canada,, hapo Iran tu wenyewe wamejazana sehem nyeti

So sitashangaa miaka 100 ijayo kuna mpalestina myahudi pure
 
Hiv unajua unachokiongea mzee. Kwa taarifa yako wayahud maisha yao yote hapa dunian wamepitia life la vita tu na siku akiacha vita amekwisha.
Hiyo ni Imani za ma fanatics wa kilokole wa Tanzania halina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom