Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Tatizo la gaza ni kuchanganya dini na siasa.. tatizo la kidini haliwezi kutatuliwa kwa njia ya siasa.. nchi kama saudi arabia, Qatar etc zimetambua kwamba dini na siasa havichangamani.
 
Hamas kama kikundi cha kisiasa na kijeshi chenye nguvu pale palestina walifanya makosa makubwa sana kufanya yale mauaji ya October 7,wamewaletea shida kubwa sana wananchi wasio na hatia wanauwawa kila siku sababu ya ujinga wao.
 
Pesa tu, majengo yatarudi chap tu hata kwa miaka 10, ila trauma haitakaa iondoke daima.. Cha kujiuliza mbona UN wanatoaga pesa nyingi tena kwa haraka kusaidia Gaza ila huku Africa nchi kama Liberia na Siera leone mpaka leo zinajikongoja sababu ya vita iliyoisha miaka mingi iliyopita.
 
Iran ni bora akaomba po na kuacha kusaidia vikundi vya kipalestina na kutamka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia, pia iran iachane na siasa za kidini iwe kama saudia, qatar na misri itajijengea heshima duniani kuwa ni nchi ya amani. Ibadilike udini ubaki kwa raia wao tu wanaoamini na kuabudu dini hiyo
 
Miaka mingi sana hio mzee kweli Ghaza imeharibika sana ila vita ikiisha leo basi miaka hata hamsini haifiki Ghaza inakua mpya shida ni roho za watu zilopotea
vita haiwezi kuisha mpaka ugaidi utokomezwe na Israel iweke buffer zone kutenganisha Gaza na Israel
 
Gaza hujengwa na waarabu,hapo taifa la palestina likipatikana tu oatajengwa chapu hadi utatamani kuhamia
Una historia ya Gaza kujengwa na waarabu, UNRWA kwa sehemu kubwa inafadhiliwa na Ulaya pamoja na Marekani. Waarabu wana hela, lakini je mahusiano yao na Hamas yakoje?
 
Una historia ya Gaza kujengwa na waarabu, UNRWA kwa sehemu kubwa inafadhiliwa na Ulaya pamoja na Marekani. Waarabu wana hela, lakini je mahusiano yao na Hamas yakoje?
Wazungu waliwaambia waarabu juzi waijenge Gaza,wakasema hawawezi ijenga kisha ibomolewe, meaning walishaijenga na wanasubiri permanent peace waijenge,unrwa siyo pesa za kuijenga Gaza bali misaada mingine,msosi,tiba nk
 
Wazungu waliwaambia waarabu juzi waijenge Gaza,wakasema hawawezi ijenga kisha ibomolewe, meaning walishaijenga na wanasubiri permanent peace waijenge,unrwa siyo pesa za kuijenga Gaza bali misaada mingine,msosi,tiba nk
Lini waliwahi kujenga? Maana elezea jinsi walivyowahi kuijenga. Asilimia 90 ya maisha ya Gaza yanategemea misaada toka Ulaya na Marekani. Maana siyo kwamba waarabu wenyewe kwa wenyewe wanapendana.

Kuna waarabu wanaiunga mkono Israel wanavyoishambuliwa Hezbollah na Hamas kwa kuwa wao ni wapinzani wa Iran ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa Hezbollah na Hamas.
 
Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi Israel
duo citizenship ni jambo la kawaida dunian kote hata wapalestina wengi au waarab wengi wana duo citizenship
 
Palestina ikiwa huru miaka 5 tu inajenga Gaza zaidi ya ilivyokuwa
lin walizuiliwa kujisimamia walipokwepo Gaza ? waislam wanawaza vita , ndio maana mwaka 1948 walikataa uhuru na wakachagua vita , hata Kesho Palestine ikiundwa itaanza tafuta jiran wa kuzinyuka nae the same to Kuwait vs Iraq , Iraq vs Iran , Syria vs Lebanon , Saudia vs Qatar , Yemen vs Saudia , Gaza vs Israel , Pakistan vs Iran , Iran vs afghanstan
 
Back
Top Bottom