Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa kauli hiyo inamaana gaza haipo na haitokuepo tena zaidi litabaki jina tu la gazaUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Kabisa. Yaani vizazi zaidi ya kumi vitapita ili Gaza ilirudi kama ilivyokuwa.Watu hapa wanashabikia hii vita kama vitimu vyao vya yanga na simba, haya hawayaoni!
Kujengwa ama kubomolewa? Halafu UN haizungumzii majengo pekee, bali na maisha ya watu wa Gaza.Kwani hii iliyobomolewa ilichukua Miaka mingapi?
Kujengwa ama kubomolewa? Halafu UN hazingumzii majengo pekee, bali na maisha ya watu wa Gaza.
Ndiyo hivyo...Au ndîo kwamba wameshapoteza
😭😭😭Watu hapa wanashabikia hii vita kama vitimu vyao vya yanga na simba, haya hawayaoni! Yani maisha ni kwamba yamefutwa Gaza.
Visasi havitokomaKujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu
UN ndiyo wamesema hivyo. Wamesema kuwa utafiti wao umeonesha itachukua miaka 350 kurudisha maisha ya Gaza kama yalivyokuwa.Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu
Huu Ndiyo Ukweli Ambao Hautasemwa Isipokuwa Kwa Mafumbo TuKwa kauli hiyo inamaana gaza haipo na haitokuepo tena zaidi litabaki jina tu la gaza
Katika world ll mji wa convetry, London Berlin ulikua destroyed level ya carpet ila baada ya marshall plan ndani ya miaka 10, mji wa London Coventry ni mizuri kuliko mji wa dar es salaam, au Mwanza ambao haikuathirika na vita ya pili ya dunia,.....what matters ni pesa ambao waarabu wako tayari kutoa, sema uhai wa watu ndo basi kwote kwote israel na palastine.Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Siyo Gaza yote imeshambuliwa maana Gaza yote Ina eneo la kilomita za mraba 365.Huu Ndiyo Ukweli Ambao Hautasemwa Isipokuwa Kwa Mafumbo Tu
Gaza Kwisha !!!!