Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Kiu ya watanzania Ni kuhitaji utumishi wa Rais Mama Samia mpaka 2030,kwa kuwa kaonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania
 
Rubbish
 
Hakuna mpigania uhuru anayeendekeza njaa.
Babu zetu walipigania Uhuru wa Taifa letu na Sasa kazi iliyobaki mikononi mwetu Ni kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe ,kazi ambayo inaendelea vizuri ikiongozwa na Rais wetu mama Samia
 
Ukute kuna kada mmoja kala hela ya mshkaji kwa ahadi ya uteuzi na kamwambia apost sifa mtandaoni ili aonekane anafaa. Hizi post ni jaribio la kupalilia aonekane.
Hakuna nilipozungumzia habari za uteuzi katika andiko langu hapa
 
Hawa ndio aina ya watu nyerere aliwaita MALAYA
 

Hilo la kumuombea nitalifanya kwa bidii zote. Na si kwa yeye tu bali kwa wale wote wenye mamlaka wanaongoza tuongoza pamoja naye. Ndivyo Mungu wetu alivyotuamrisha hivyo. 1 Timotheo 2:1-4 na Mithali 21:1.
 
Hilo la kumuombea nitalifanya kwa bidii zote. Na si kwa yeye tu bali kwa wale wote wenye mamlaka wanaongoza tuongoza pamoja naye. Ndivyo Mungu wetu alivyotuamrisha hivyo. 1 Timotheo 2:1-4 na Mithali 21:1.
Nashukuru Sana na Nakuunga mkono
 
YA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA. NA IKUPRNDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025. AMIIN.
Na iwe hivyo
 
Huna hata aibu, janaume zima kutwa kucha kusifia upuuzi. Bibi hataki shobo.
 
Watanzania Wana Imani kubwa sana na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Mama Samia Suluhu Hassan. Wakoloni tulishawafungashia virago vyao Tangia miaka ya 60 huko na kubaki tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

CCM Ni mbaya kuliko wakoloni. CCM wanaua waafrika wenzao kisa madaraka. Unaongozaje kwa amani wakati Kuna raia wako wawili wamepotezwa? Uhuru una maana gani kama uhai wa raia haupewi kipaumbele. Mbunge analimwa risasi mchana kweupe. Wakati wa mkoloni , akina waliruhusiwa kufanya siasa, ila mweusi mwenzetu anatuzuia kufanya siasa. Ilaaniwe CCM milele.
 
Acha ubaguzi na mbegu za kibaguzi katika akili yako maana ukipanda mbegu ya ubaguzi ikikua itakuathiri hata wewe tu

Wewe mwenyewe ndio mbaguzi mkubwa. Acha ubaguzi kwanza wewe mwenyewe ndio upate uhalali wa kunyooshea mikono wengine.
 
Kiu ya watanzania Ni kuhitaji utumishi wa Rais Mama Samia mpaka 2030,kwa kuwa kaonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania

Wewe unaongelea 2030 wakati Sasa hivi mambo ni magumu. Unawaza madaraka baadala ya utumishi. Shughulikia matatizo ya wananchi mengine ya huko mbeleni tuyaache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…