SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Ona hili tahira nalo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiu ya watanzania Ni kuhitaji utumishi wa Rais Mama Samia mpaka 2030,kwa kuwa kaonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzaniaYA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA NCHI HII. NA IKIKUPENDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025 KWA HIARI YAKE AENDE KULEA WAJUKUU, AMIN.
Jamaa tafuta hata bustani upande mchicha uuze. Acha kujitoa ufahamu kwa kutarajia uteuzi.
Si unaona? Ungekuwa kiongozi so ungeua wote wanaotofautiana na wewe?Ona jili tahira nalo!
Mimi naandika ukweli unaonekana na kila mtanzania mwenye akili huruKujipendekeza huleta mauti alisema Nyerere.
Kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letuHahahah halafu saizi sijui mna ajenda gani...Yani ccm wote mnajifanya wakulima
RubbishNdugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Babu zetu walipigania Uhuru wa Taifa letu na Sasa kazi iliyobaki mikononi mwetu Ni kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe ,kazi ambayo inaendelea vizuri ikiongozwa na Rais wetu mama SamiaHakuna mpigania uhuru anayeendekeza njaa.
Hakuna nilipozungumzia habari za uteuzi katika andiko langu hapaUkute kuna kada mmoja kala hela ya mshkaji kwa ahadi ya uteuzi na kamwambia apost sifa mtandaoni ili aonekane anafaa. Hizi post ni jaribio la kupalilia aonekane.
Hawa ndio aina ya watu nyerere aliwaita MALAYANdugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Nashukuru Sana na Nakuunga mkonoHilo la kumuombea nitalifanya kwa bidii zote. Na si kwa yeye tu bali kwa wale wote wenye mamlaka wanaongoza tuongoza pamoja naye. Ndivyo Mungu wetu alivyotuamrisha hivyo. 1 Timotheo 2:1-4 na Mithali 21:1.
Na iwe hivyoYA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA. NA IKUPRNDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025. AMIIN.
Haiwezi ikawa hivyo maana mamilioni ya watanzania wanahitaji utumishi wake uliotukuka Kuendelea nao Hadi 2030Na iwe hivyo
Huna hata aibu, janaume zima kutwa kucha kusifia upuuzi. Bibi hataki shobo.Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Wewe kutwa nzima Ni mimatusi tuHuna hata aibu, janaume zima kutwa kucha kusifia upuuzi. Bibi hataki shobo.
ningekuwa upande wa wapigania Uhuru
Watanzania Wana Imani kubwa sana na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Mama Samia Suluhu Hassan. Wakoloni tulishawafungashia virago vyao Tangia miaka ya 60 huko na kubaki tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Acha ubaguzi na mbegu za kibaguzi katika akili yako maana ukipanda mbegu ya ubaguzi ikikua itakuathiri hata wewe tu
Wewe kutwa nzima Ni mimatusi tu
Kiu ya watanzania Ni kuhitaji utumishi wa Rais Mama Samia mpaka 2030,kwa kuwa kaonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania