Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Acha sifa za kijinga dogo.
 
Wewe unaongelea 2030 wakati Sasa hivi mambo ni magumu. Unawaza madaraka baadala ya utumishi. Shughulikia matatizo ya wananchi mengine ya huko mbeleni tuyaache.
Rais wetu anapambana kwa nguvu zake zote na kila mtanzania anaona juhudi zake na ndio maana watanzania wanaridhishwa na utendaji kazi wake na kuwa Tayari kumuunga mkono
 
Nilichompenda Maguli ni kuwafunga watu midomo yao, maana hawana jema kila utakalofanya watakosoa tu hata pale kunapokua hakuna hoja ya msingi.
 
Wewe zuzu ujue unaweza ukawa chizi na watu wasijue Kwa nini Sasa wewe unajianika sana? Ficha upumbafu wako
 
Nadhani umesoma reaction za watu hapa zimekupa picha ya aina ya maudhii yanayokera. Kama kweli mna nia njema na mnampenda mama acheni kuandika maaudhui ya namna hii. Mna mharibia na kumchonfanisha na watu badala ya ku msaidia.

Kwa JPM mlisema hivyo hivyo kwamba akiondoka hatapatikana kama yeye. Mkaenda mbali zaidi kutaka kumuongezea muda.

Sasa leo tena mnasema hajawahi kutokea Rais Mzuri kama mama Samia...Si mchukii mama, ila nachukia uchawa. CCM mkapimwe akili.
 
Mimi mwenyewe nimejionea kwa macho yangu namna watanzania wanavyomkubali na kumuunga mkono mh Rais wetu huku mtaani,Mimi naona namnaa wakulima walivyo na furaha na Rais Samia, naona wanafunzi wanavyofurahia uongozi wa Rais Samia, Naona wanasiasa wanavyotoa mawazo yao kwa Uhuru bila kubugudhiwa
 
Tukipata katiba mpya kwa vijana wa aina hii niiteni mbwa. Hawa vijana mtawaona wakiandamana kupinga.
Haya Rais mwenyewe kashasema ukiwa dhidi yake hakusikilizi na hata uzunguke dunia nzima kuomba msaada wa kisheria yeye atatumia nguvu za ndani kukudhibiti, halaf eti naye anaitwa msikivu na mvumilivu.
Rais Samia kama mtu watu hawamchukii ila wanamchukia Rais aliyekosa uthubutu kwenye mambo yanayoigusa jamii.
Rais Samia kama atajaribu kugombea Urais basi atakuwa Rais atakayeshinda kwa tabu sana. Hakubaliki, haeleweki, hana uthubutu kabisa.
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia uchaguzi ujao maana ushawishi wa Mama Samia Ni mkubwa Sana na anakubalika na kupendwa na makundi yote
 
Wakati wa Nyerere uliona nini? wakati wa mwinyi uliona nini? Wakati wa Mkapa Uliona nini? Wakati wa Kikwete uliona nini? Wakati wa JPM uliona nini?
 
Piga zumari sana ila tambua kuwa mama yako hakupendi.
 
YA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA. NA IKUPRNDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025. AMIIN.
Thuma amiin, na ikimpendeza Allah amjaalie Mama yetu akubali tupate katiba mpya itakayoipeleka Kaburini CCM.
Mwenyezi Mungu tunajua kuwa baadhi ya binadamu ni mtihani mkubwa, na sisi tunasema CCM wamekuwa mtihani mkubwa sana, hebu ona rushwa ndani ya Chama chao, Sasa hawa wataweza kukemea rushwa?? Basi kwa mapenzi yako tunakuomba utuondolee huu mtihani.
 
Piga zumari sana ila tambua kuwa mama yako hakupendi.
Rais Mama Samia anatupenda na kutujali watanzania wote Ndio sababu ya kuona juhudi zake katika kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote,katika kuhakikisha kuwa tunainuka kiuchumi kwa kutatua kero mbalimbali zinazokuwa mbele yetu Kama Taifa.
 
Wala Rushwa hawana nafasi ya uongozi ndani ya CCM na yeyote akibainika kushiriki vitendo vya Rushwa anachukiliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kuenguliwa kugombea au kufutwa kabisa kwa matokeo ya eneo husika
 
Rais Mama Samia anatupenda na kutujali watanzania wote Ndio sababu ya kuona juhudi zake katika kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote,katika kuhakikisha kuwa tunainuka kiuchumi kwa kutatua kero mbalimbali zinazokuwa mbele yetu Kama Taifa.
Mama yako hakupendi anampenda baba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…