econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mimi naandika ukweli unaonekana na kila mtanzania mwenye akili huru
Ukweli gani?. Wenzako wanagombea vyeo huko CCM wewe unataka vya dezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naandika ukweli unaonekana na kila mtanzania mwenye akili huru
Acha sifa za kijinga dogo.Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Tindo wapi nimeongea na kuandika uongo hapoAcha sifa za kijinga dogo.
Naona unawaza vyeo tu ndugu yanguUkweli gani?. Wenzako wanagombea vyeo huko CCM wewe unataka vya dezo.
Rais wetu anapambana kwa nguvu zake zote na kila mtanzania anaona juhudi zake na ndio maana watanzania wanaridhishwa na utendaji kazi wake na kuwa Tayari kumuunga mkonoWewe unaongelea 2030 wakati Sasa hivi mambo ni magumu. Unawaza madaraka baadala ya utumishi. Shughulikia matatizo ya wananchi mengine ya huko mbeleni tuyaache.
Nadhani umesoma reaction za watu hapa zimekupa picha ya aina ya maudhii yanayokera. Kama kweli mna nia njema na mnampenda mama acheni kuandika maaudhui ya namna hii. Mna mharibia na kumchonfanisha na watu badala ya ku msaidia.Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya kila mtu bila kujali aina ya maandishi na mtu aliyeandika ,mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote bila kujari aina ya sauti na mahali zilikotoka
Ni wachache Sana wenye kifua Cha uongozi na ngozi ya kiuongozi Kama aliyonayo Rais Samia, Mama yetu anatambua mamlaka aliyonayo kikatiba na kisheria namna yalivyo makubwa, Rais Samia Anafahamu nguvu aliyonayo katika ulimi wake na mikononi mwake kupitia kalamu ya maagizo, anafahamu yeye ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lakini huwezi ukamsikia akijivunia madaraka na mamlaka hayo aliyonayo kikatiba na kisheria.
Huwezi kumsikia akitoa lugha za vitisho kwa raia wake Wala maneno ya dharau au kuwakatisha Tamaa watu, Ni mama anayezungumza ukweli muda wote,Ni mama na kiongozi anayeongea uhalisia wa kinachoendelea katika serikali yake,Moyo wake umejaa upendo uvumilivu uzalendo unyenyekevu ujasiri Subira hekima na busara. Ni kiongozi anayetoa maneno katika kinywa chake yakiwa hayana ukakasi Wala kutisha au kukatisha Tamaa au kuwagawa watu
Tanzania Ina amani utulivu na upendo miongoni mwa watanzania kwa kuwa Rais Samia amekuwa kiunganishi Cha Taifa na Mfariji wa Taifa, kiongozi wa wote.karuhusu kutamalaki na kushamiri kwa Uhuru,watu wapo huru kuzungumza na kukosoa,watu wapo huru kueleza dukuduku zao bila hofu,hakuna mwenye Hofu Wala wasiwasi katika kutoa na kueleza hisia zao.Hii ndio sababu hata upinzani hauna ushawishi kwa watanzania kwa kuwa watu wanajisemea wenyewe kwa vinywa vyao na serikali yao inawasikiliza na kufanyia kazi maoni yao,hii yote Ni kwa kuwa Rais Samia Ni Msikivu na mvumilivu na kuwafanya watanzania kuwa na amani katika mioyo Yao,Hakuna aliyebeba sumu kinywani Mwake,Watanzania wanazungumza amani na upendo,Subira na uvumilivu, kuvumiliana na kuheshimiana, kupendana na kushirikiana.
Ukitaka ufahamu namna mh Rais mama Samia alivyomvumilivu na mwenye kifua Cha kiuongozi angalia namna ambavyo watanzania wengi wanavyokosa uvumilivu pale wanapokosolewa,unakuta mtu kwenye Ukurasa wake wa kijamii Kama vile Twitter au Facebook hata humu jamii forum akikosolewa kidogo unakuta anapolomosha matusi utafikiri Kuna mishipa ya fahamu imekatika kichwani,au unakuta ana wa block wote wanaomkosoa
Sasa Kama mtu siyo kiongozi na Hana mamlaka yoyote Yale lakini anakosa uvumilivu je Ni vipi atawavumilia watu wanaomkosoa pale Atakapokuwa na madaraka makubwa ya kutoa Amri? Ni vipi atakaa meza moja na mpinzani wake mkuu kutafuta suluhu na kujenga nchi kwa pamoja Kama afanyavyo mama yetu mpendwa mama Samia? Mtu wa namna hii akipewa madaraka makubwa ya kiuongozi Ni lazima atawaumiza wakosoaji wake kwa namna yoyote Ile atakayoona inafaa na itakayomhakikishia usalama masikioni mwake.
Ndio maana nasema kuwa itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo Wa upendo uvumilivu Hekima Busara Unyenyekevu Subira Usikivu Na uzalendo , Mwenye uwezo wa kusikiliza sauti zote na kusoma maandishi yote bila kumuumiza mtu zaidi ya kuhubiri HAKI tu katika kinywa chake Msamiati ambao Ni mgumu na mchungu kutoka katika vinywa vya Baadhi ya Viongozi wa kiafrika waliopo Madarakani.
Watanzania Tuendelee kumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu na Tuhakikishe kuwa Tunamwombea uzima na Afya njema na kuhakikisha kuwa Uchaguzi ujao anapata Nafasi ya Kuendelea kuliongoza Taifa letu na kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na upendo Kama alio uonyesha kwa Sasa katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:0742-676627
Mimi mwenyewe nimejionea kwa macho yangu namna watanzania wanavyomkubali na kumuunga mkono mh Rais wetu huku mtaani,Mimi naona namnaa wakulima walivyo na furaha na Rais Samia, naona wanafunzi wanavyofurahia uongozi wa Rais Samia, Naona wanasiasa wanavyotoa mawazo yao kwa Uhuru bila kubugudhiwaNadhani umesoma reaction za watu hapa zimekupa picha ya aina ya maudhii yanayokera. Kama kweli mna nia njema na mnampenda mama acheni kuandika maaudhui ya namna hii. Mna mharibia na kumchonfanisha na watu badala ya ku msaidia.
Kwa JPM mlisema hivyo hivyo kwamba akiondoka hatapatikana kama yeye. Mkaenda mbali zaidi kutaka kumuongezea muda.
Sasa leo tena mnasema hajawahi kutokea Rais Mzuri kama mama Samia...Si mchukii mama, ila nachukia uchawa. CCM mkapimwe akili.
Kila Mtanzania? Je huu upuuzi uliouandika umeungwa mkono na Watanzania wangapi?Mimi naandika ukweli unaonekana na kila mtanzania mwenye akili huru
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia uchaguzi ujao maana ushawishi wa Mama Samia Ni mkubwa Sana na anakubalika na kupendwa na makundi yoteTukipata katiba mpya kwa vijana wa aina hii niiteni mbwa. Hawa vijana mtawaona wakiandamana kupinga.
Haya Rais mwenyewe kashasema ukiwa dhidi yake hakusikilizi na hata uzunguke dunia nzima kuomba msaada wa kisheria yeye atatumia nguvu za ndani kukudhibiti, halaf eti naye anaitwa msikivu na mvumilivu.
Rais Samia kama mtu watu hawamchukii ila wanamchukia Rais aliyekosa uthubutu kwenye mambo yanayoigusa jamii.
Rais Samia kama atajaribu kugombea Urais basi atakuwa Rais atakayeshinda kwa tabu sana. Hakubaliki, haeleweki, hana uthubutu kabisa.
Pinga hoja kwa hoja mkuuKila Mtanzania? Je huu upuuzi uliouandika umeungwa mkono na Watanzania wangapi?
Mwenye akili huru? Kwa bahati mbaya huwezi kuwa mwana CCM ukawa na akili huru.
Lucas mwashambwa, kwa akili hizi lazima utakuwa mchawi...pole sana!
Wakati wa Nyerere uliona nini? wakati wa mwinyi uliona nini? Wakati wa Mkapa Uliona nini? Wakati wa Kikwete uliona nini? Wakati wa JPM uliona nini?Mimi mwenyewe nimejionea kwa macho yangu namna watanzania wanavyomkubali na kumuunga mkono mh Rais wetu huku mtaani,Mimi naona namnaa wakulima walivyo na furaha na Rais Samia, naona wanafunzi wanavyofurahia uongozi wa Rais Samia, Naona wanasiasa wanavyotoa mawazo yao kwa Uhuru bila kubugudhiwa
Thuma amiin, na ikimpendeza Allah amjaalie Mama yetu akubali tupate katiba mpya itakayoipeleka Kaburini CCM.YA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA. NA IKUPRNDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025. AMIIN.
Rais Mama Samia anatupenda na kutujali watanzania wote Ndio sababu ya kuona juhudi zake katika kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote,katika kuhakikisha kuwa tunainuka kiuchumi kwa kutatua kero mbalimbali zinazokuwa mbele yetu Kama Taifa.Piga zumari sana ila tambua kuwa mama yako hakupendi.
Wala Rushwa hawana nafasi ya uongozi ndani ya CCM na yeyote akibainika kushiriki vitendo vya Rushwa anachukiliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kuenguliwa kugombea au kufutwa kabisa kwa matokeo ya eneo husikaThuma amiin, na ikimpendeza Allah amjaalie Mama yetu akubali tupate katiba mpya itakayoipeleka Kaburini CCM.
Mwenyezi Mungu tunajua kuwa baadhi ya binadamu ni mtihani mkubwa, na sisi tunasema CCM wamekuwa mtihani mkubwa sana, hebu ona rushwa ndani ya Chama chao, Sasa hawa wataweza kukemea rushwa?? Basi kwa mapenzi yako tunakuomba utuondolee huu mtihani.
Mama yako hakupendi anampenda baba yako.Rais Mama Samia anatupenda na kutujali watanzania wote Ndio sababu ya kuona juhudi zake katika kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote,katika kuhakikisha kuwa tunainuka kiuchumi kwa kutatua kero mbalimbali zinazokuwa mbele yetu Kama Taifa.