Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Watanzania Wana Imani kubwa sana na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Mama Samia Suluhu Hassan. Wakoloni tulishawafungashia virago vyao Tangia miaka ya 60 huko na kubaki tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Samhani!!!!!Acha kusema watanzania...Sema ww kijana eboo☹️
 


huyu jamaa anajikomba anataka awe mmoja wa walamba asali ila bado hajatoboa,kaandika mengi wala SISOMI😕😉
 
Anaweka na namba ya sim kabisa
Wenzake waliweka,wamechoka wenyewe,wako kimya [emoji1]
Teuzi zinaishia kwa watoto wa vigogo
Wao wanabakia kupiga debe tu

Ova
tumemshauri atafute namna nyingine lakini sio hii ya kuandika magazeti na namba ya simu hasikii na inaonyesha hana kazi ya kufanya kutwa nzima anashinda anaandika tu na kupiga mapambio akiamini atapata uteuzi
 
Akili za vijana wa kitanzania zinawaza teuzi za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…