Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Uthubutu mwingine ni wa kijinga.Hakuna kitu kinauma kama majuto,majuto yanauma zaidi sababu yanakuja baada ya muda kupita. Hakuna aliewahi kurudisha nyuma muda akafanikiwa. Nyakati za Yesu alipingwa sana japo alisaidia wengi, aliponya wengi lakini bado alionekana si kitu. Baada ya kufa ndio walijua kuwa hakika alikua mwana wa Mungu...
Kama vile uthubutu wa kukataa kuvaa barakoa kwenye pandemic huku ukijijua una matatizo ya moyo.
Hapo Magufuli aliongoza kijinga, tuseme ukweli.