Uthubutu mwingine ni wa kijinga.Hakuna kitu kinauma kama majuto,majuto yanauma zaidi sababu yanakuja baada ya muda kupita. Hakuna aliewahi kurudisha nyuma muda akafanikiwa. Nyakati za Yesu alipingwa sana japo alisaidia wengi, aliponya wengi lakini bado alionekana si kitu. Baada ya kufa ndio walijua kuwa hakika alikua mwana wa Mungu...
Kweli kabisa mkuuNakubali lakini kila nikijikumbusha mazuri yake najioni sina hoja ya msingi
brazaj mnaemchukia amekufa tayari burudikeni sasa ni wakati wenu.Ni kweri ndiyo maana ameacha taifa lililogawanyika mno. Hakukuwa na sababu za kuwafikisha watu huku kwenye kuombeana kufa...
Ukijenga barabara na madaraja huku ukiua wanaopingana na wewe kimtazamo ina faida gani!?
Binafsi nilimhesabu kama Rais asiyejiamini kabisa kupata kumuona!!
Mkuu unaamini kutoka kwake ni nafuu kwa mtz?Meku labda kiongozi nyumbani kwako,mtu anatukana mama n dada zetu hadharani,mauaji ya kutisha hajawahi hata kemea,mungu kampiga kelbu moja tu kameza ulimi wake yuko anapistahili aishi,duniani haikua mahala pake pa kuishi
Kama kujenga madaraja gharama yake ni kuua wanaopishana na wewe mtazamo ni bora tungebaki vile vile!!Ni bora asingejenga tukabaki vile vile? Ndo msaada huo?
Tafakari piaMungu akubariki sana mangi
Umeyasema ya moyoni mwangu
Tumuombee mpendwa wetu na tujifunze kupitia kwake "tenda wema nenda zako"
Mimi ni mchaga alitutenga sana lakini bado,shida inakuja nani atakuwa nafuu? Jibu hakuna waliobaki wote ni mzigo tu.Ukweli mchungu huyu bwana alikuwa ni rais mzigo kuwahi kutokea katika history ya nchi hii.
Chuki na mifarakano aliyotuletea haina mfano.
Samahani wasukuma huyu bwana kama alikuwa ndugu yenu, hamfai kupewa dhamana kama hii kwa muda wa kutosha kwanza. Mjifunze kabisa kwanza.
Kwani hata ni siri?
Mambo yote yalihamia chattle achilia machungu aliyotuletea.
Si ukweli ndugu zangu?
Ushamba ni kawaida ya wasukuma lakini hakuna kama yeye kwa nyakat hizi...muda utaongea,weka alama uzi huuKama kujenga madaraja gharama yake ni kuua wanaopishana na wewe mtazamo ni bora tungebaki vile vile!!
Ni bora kukaa na njaaa ukiwa huru kuliko kushiba ukiwa gerezani!!
Mzee mshamba sana yule!
Ni bora asingejenga tukabaki vile vile? Ndo msaada huo?
Ni bora asingejenga tukabaki vile vile? Ndo msaada huo?
Ni kweli hakuna muuaji kama yeye kwa kipindi hiki hilo hatubishani!!Ushamba ni kawaida ya wasukuma lakini hakuna kama yeye kwa nyakat hizi...muda utaongea,weka alama uzi huu
Swala la covid lilikuwa la kibinafsi,ukipoteza afya yako serikali haiwahusu... Ww unajua covid ni hatari lakini huchukui tahadhari unategemea nini?Alikuwa na ulazima gani wa kuuwa?
Hapo achilia mbali waliokufa kwa Corona ambao iliwezekana kuipisha.
Ndugu zao hao wana jema lipi la kumsifu nalo?