Itachukua muda mrefu sana kupata jiwe hili wajenzi walilolikataa

Nota Bene: "Lile kabila letu pendwa ni la kukabidhi mizigo mizito peke yake. Si madaraka!"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ni mchaga alitutenga sana lakini bado,shida inakuja nani atakuwa nafuu? Jibu hakuna waliobaki wote ni mzigo tu.

Ukitanguliza mapenzi binafsi huezi kama ana maana kwako ila angalia faida za pamoja ndio utamuona ni mtu tofauti sana.

Huyu bwana atupishe tupambane na Corona kwanza. Mengine baadaye.

Tumepoteza wengi akiwamo yeye kwa kutokusikiliza tu.

Tuanze na mabarakoa na social distancing kwanza. Tuingie takwimu za ufonjwa tupate kuwa salama kwanza.

Nakazia: mengine baadaye!
 
N
Alikuwa na ulazima gani wa kuuwa?

Hapo achilia mbali waliokufa kwa Corona ambao iliwezekana kuipisha.

Ndugu zao hao wana jema lipi la kumsifu nalo?
Nitajie watu watatu tu waliokufa kwa Corona Tanzania
 
Kaka Watanzania wengi ufahamu wao ni mdogo sana kumambanua Mambo. Muda mwingi tumekua watu wa Majuto.

Mimi niseme ukweli 2015 siku mpigia Ndugu Magufuli. Kutokana na Siasa za Upinzani na waliyotuaminisha kwamba nchi yetu inaibiwa sana na serikali ya chama cha Mapinduzi imeshindwa kudhibiri wizi na ufisadi unaopelekea Umaskini na mateso mengi kwa wananchi wake.

Na kumbuka siku huyu bwana Alipotangazwa ulikua Msiba mzito sana kutokana na Matokeo kutoka tofauti na Matarajio yetu.

Lakini Na kumbuka baada ya kuanza kuona jitihada za dhati kabisa Ambazo huyu Mzalendo wa ukweli kabisa kuanza kufanya Taratibu nilianza kumpenda na kumwelewa.

Maana wale Ambao walituaminisha Ufisadi ndio wakageuka wapinga mema Aliyoyafanya Huyu Mzalendo wa Kweli kabisa.

Kaka Mimi nimekaa nikawaza sana juu ya jambo hili kwa nini Mungu Ameliruhusu?

Nikapata jibu 1
Watanzania wameikanyaga Lulu Ambayo Mungu Alitupatia. Hawa kuona Thamani Yake na wamekufuru hivyo Mungu Ameamua kuchukua Lulu Yake ili tupate tulichokua tunakitaka na kukataa MTU Mwema kama huyu.

Nimalizie kwa kusema
Kila jicho litamwombolezea na kusema heri kama siku za Magufuli zingerudishwa tunge Mzunguka na Kumbariki kwa Matendo Yake Mema Aliyotutendea. Muda utaongea.
 
Mungu akubariki mkuu.... tuombeane uzima tuliomtukana jana tutamhitaji kesho.

Rais sio Mungu ni binadamu mwenye kasoro zake kama ilivyo kwako na kwangu.

JPM alikuwa na mapungufu yake kama binadamu. Alikuwa mthubutu, mpenda nchi yake na mpenda watu wa hali ya chini.

Muda ni wakati hata miezi sita haipiti tutamhitaji.
 
Swala la covid lilikuwa la kibinafsi,ukipoteza afya yako serikali haiwahusu... Ww unajua covid ni hatari lakini huchukui tahadhari unategemea nini?

Covid halikuwa suala binafsi. Wala aliyekufa au kuugua covid unadhani ni makosa yake?



Chanjo nazo je? Tunazipataje bila serikali.

Mwenyewe yamemkuta, Maalim, Nkapa, Kijazi nk. Sisi tuna hepa vipi?

Serikali zinawajibu wa kutuhami siyo kutukamua kodi tu.
 

Good Riddance​

Alitaka kuifunga Jamii Forum, lakini kashindwa na kamwe hatotokea wa kuifunga. Jamii Forum
Amefunga Twitter mpaka VPN imempiga bao

Halafu mnakuja humu kumsikitikia, kwenye Jamii Forum, Kafeni mbele huko......
He is done and dusted, and I am happy he is gone


Naunga Mkono Jamii Forum Team kwa kutokuweka bandiko la rasmi la Maombelezi.
 
Magufuli alipotezwa na wapambe kama wewe. Angeshirikisha watu wenye busara na upeo kwenye uongozi wake bila kujali kama anawachukia au wanampinga angekuwa kiongozi mzuri sana. Tatizo lake alikumbutia wasaka tonge wapambe kama wewe ambao walikuwa wanamdanganya mambo mengi ili waendelee kushiba. Watu kama Makonda, watu kama yule James mtoto wa dadake, watu kama mzee wa ngono Gwajima, wote hawa walimpotosha.
 

uko sahihi mkuu
 
Mwenyezi Mungu atusaidia tuombe sana wkt huu
 
Uko sahihi mkuu
 
hakika
 
Mawe yapo Meeengiiii
Hao Wakenya wanaishi Tz? Wanashuhudia Mateso yetu? Media zina ripoti tunayo pitia?
 
Chuma kimeondoka bila kutu,sasa sijajua Mama Samia ataamua kuwa wa moto au wa baridi na kuturejesha enzi zile za " unanijua mimi nani".

RIP Magu.
 
Umemaliza maneno yangu mkuu.
 
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…