Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

Kuhusu huo Mmea sijui miti ya Hallucinating humu ishazungumziwa Sana kipindi fulani,,nikipata link nitaweka sio kwamba wewe ndio wa kwanza kuleta Jambo Hilo

By the way Asante kwa maarifa uliyo tupatia,shusha vitu
 
√Kwa mujibu wa kitabu cha "THE SECRET HISTORY OF THE WORLD" Inaelezwa kwamba katika kipindi cha kale mafundisho ya siri na ibada za tambiko za siri zenye nguvu na majibu ya papo kwa papo zilikua ni utaratibu au mafunzo muhimu yaliyotolewa kwenye Mystery schools /Shule za siri na Mystical Temple / Mahekalu ya siri.

Tangu kale ufahamu huo ulifanywa siri na ulitolewa kwa baadhi ya watu na ulikuwa ni ufahamu mtakatifu ambapo Watahiniwa walio fuzu walikuwa na uwezo wa kukuta na spirits au Etheric beongs kutoka dimension zingine. Iliwapa nguvu kuwa juu ya wengine, walifundishwa ku-access nguvu kubwa iliyo ndani ya wanadamu na kuitumia ambapo elimu hiyo ilichukulwa kama hatari endapo kama kila mtu atakuwa na uwezo huo, mhitimu yeyote aliyehitimu mafunzo hayo kisha akatoa siri Hadharani katika yale aliyo fundishwa, Siku inayofuata alikutwa Ameuawa.

ELIMU hiyo ilichukuliwa kama elimu takatifu mno ilihitaji watu safi, wenye akili ya kuweza kuelewa kwakuwa si kila mtu anaweza kuelewa mafundisho haya tuliyi yarithi kutoka kwa watangulizi wetu wa kale walio toka kwenye NYOTA.

Elimu ilikuwa kwa wale wenye uwezo wa kuweza kuelewa tunawaita SELECTIVE HYBRID

√Kwenye shule hizo za siri kulifundishwa Tekniki mbalimbali za meditation^Meditation science, Mafundisho ya siri kama vile historia za siri / Forbidden history.

Mfano kuna utafiti ulifanyika kwa kupima mifupa na mavufu umri na Jeni zake kugundua jamii gani ilikua ya kwanza duniani kati ya Weupe au weusi?.. majibu yaliyopatikana ni Siri kwalua kama ingetangazwa ingeleta hata hali fulani ya ubaguzi, kwa hiyo ujue Baadhi ya vitu havitolewi hadharani kamwe ukweli wake ili kuendeleza amani pia kinyume chake inawafanya pia watu kutokujua kuwa wajinga na kuwa rahisi kuwa-Manipulated.

Kwenye Shule hizo za Siri (Mystical Schools) kulifundishwa matumia ya HALLUCINOGENIC PLANTS ili kupata aina fulani ya ALTERED MIND STATE, kwasababu kuna Reality kuna uhalisia huwezi kuuona hata uburunguke ufanye meditation miaka 30 mara kumi kwa siku huo uhalisia huto weza kuuona mpaka mpaka uwe katika hali nyingine ya kiakili ndipo utauona. Baadhi ya mimea hiyo jamii ya PSYCHOTROPIC PLANTS HALLUCINOGENIC PLANTS imetoweka duniani hivi sasa, na kama ipo haipatikani kiurahisi na maarifa kuhusu matumizi ya mimea hiyo yamepotea, ujuzi umepotea umebaki katika taasisi za siri (Secrety societies).

Miongoni mwa siri kubwa ambazo nimekufundisheni ni Kuhusu mimea hii "HALLUCINOGENIC PLANTS" Ingawa sikukamilisha hitimisho lakini mimea nilikutajieni nilikuelezeeni ma nilikuonyesheni, hiyo ni miongoni mwa siri kubwa ambazo nilikupeni na Mimi ndiye mtu wa kwanza kukufundisheni kuhusu PSYCHOTROPIC PLANTS siri yake humu online hakuna mwingineyo mtanzania ambaye amesha wahi kuweka jambo hili wazi kwa kiswahili online.

√Miongoni mwa siri kubwa nyingine na POST YA KWANZA FACEBOOK TANZANIA YA KISWAHILI ni kuhusu SIRI YA MONO -ATOMIC GOLD siri ya dhahabu ya atomiki. Tumekuwa katika kipindi hiki tukipendelea miujiza na maajabu et kwamba kuna mambo mtu anatenda et ni uwezo wa ajabu ajabu usio elezeka kutoka kwa Mungu.

Nilikuambiani hadithi za kusema MALAIKA walipo kutana na Mitume au Manabii au watakatifu Sijui kweli ni mitume au manabii mimi sijui ila tumezikuta stori zipo hivyo.

Kwamba malaika walikuwa waking'aa kama Jua huwezi kuwatazama mara stori Nabii Musa alitoka Mlimani kuzungumza na Mungu siku 40, aliporejea kwa wana wa Israeli , wana wa israeli walimshangaa kwakuwa uso wake uling'aa kama Jua.

Siri ni kwenye matumizi ya DHAHABU YA ATOMIC nilisha fundisha, kwamba ulitumia kwa kiwango cha kutosha kwa kujindunga au kumeza Uwezo wa ubongo unaklongezeka unakuwa na uwezo wa kuchakata taarifa kama KOMPYUTA YA HALI YA JUU (Super computer), unakuwa na uwezo wa kujibadili maumbo (Shape Shifting), Ku access knowledge yoyote au kuhusu chochote, ukitumia ya lutosha unang'aa kama Jua, Unaweza kwenda dimension nyingine za juu na kurudi huku ukiwa unajitambua (concious) Vitu hivi na ufahamu wa mambo hayo unapatikana kwa wanachama wa jamii za Siri wa ngazi za Juuu. Ukihisi nakutania nenda hata Google andika "Mono atomic Gold" utaletewa hatabza madukani za hivi leo zenyewe kazi yake wameeleza ni KU-BOOST UBONGO/AKILI lakini Imepunguzwa uwezo ila hazipo Tanzania.

Kwahiyo katika hadithi za kale za MISRI na SUMERIA zilizo tangulia BIBLIA na QUR'AN pamoja na ukristo wenyewe, Uyahudi na uislamu zinapo zungumIa Miungu kutafuta dhahabu Duniani haikuwa tu kwaajili ya kuziba anga la ozone kwenye sayari yao bali waliihitaji hasa Kwaajili ya matumizi kama haya ya kutengeneza au kuchakata wapate MONO-ATOMIC GOLD.

Na pia uwezo wa maarifa wa watu wa Misri wa sayansi kabla ya sayansi ya Hivi leo na Falsafa zenye mguvu za kiroho THEOSOPHY ulitokana na kwamba Mafarao walipata maarifa hayo kwa kutumia MONO ATOMIC GOLD. Maswala ya kusema miujiza "Mitume wanaweka mikono juu ya wagonjwa wanapona" au mazingaombwe ya utitiri wa manabii wa kileo.

Siri ni Kundalini Life Force na Sexual Energy maarufu kama Sacred Secretion.

Hao manabii wana siri zao hawawezi kuwaambia ili mumshtukie, wanaenda mbali kutafuta nguvu na kujifunza huko wanakutana Na Maguru waalimu wa Kundalini wanafundishwa kunyanyua nguvu ya Kundalini ambayo hata wewe unaweza kufanya, wanafundishwa na wanafanyiwa kubadili nguvu za kiume nguvu za uzazi sperms, kutoka kuwa nguvu za uzazi kwenda kuwa nguvu za kiroho (Transmute from sexual Energy to Siritual Energy/Power) akirudi Tanzania Majini yanacharaza mbio.. nilisha waambia Nguvu ya kundalini Ni mguvu ya Miungu na sayansi inayotumika kukufundisheni Inaitwa ALKEMIA yenye kauli mbiu isemayo "Make yourself equal to god" au Become God yaani jifanye mwemyewe luwa kama Mungu au Kuwa sawa na Mungu ... knowlesge ya kundalini au kufungua Jicho la tatu ni sawa na kusema "Kula tunda la mti wa maarifa ulio katazwa" Forbidden Fruit "THE APPLE" kwahiyo ni nguvu kubwa Majini hawawezi kustahimili na wanamuogopa mwanadamu kama tunavyo waogopa wao kwasababu ya Kundalini ingawa kinachowapa nguvu wanajua hatujui na wengi kati yetu haifanyi kazi ila wapo makini kwasababu muda mwingine hua inaamka bila kutarajia ghafla tu.

Naam, Point ilikuwa kuzungumzia Mystery School in our modern days. Vituo vya shule za siri vilianza kupotea Afrika baada ya uvamizi au ujio wa wageni pale KEMET /?MISRI YA KILEO .. KEMET INAMAANISHA "The Land Of The Black People",yaani ardhi ya watu weusi. Hapo Awali mpaka kule Ethiopia ilikua Khemet, Tulikuwa na sayanai yetu tulikua na vituo vya Elimu za siri na sayansi. Akina NEWTON,PLATO,SOCRATE na wanasayansi na wanafalsafa maarufu Walisoma Khemet walianzishwa (Initiated) kwenye mafundisho ya siri na sayansi chini ya Makuhani Weusi. Mabwana hawa Wagiriki, Waitaliano na Waarabu walitugeuka na kutuvamia. Warumi/Waitaly waliharibu maktaba ya Alexandria pale Misri maktaba kubwa yenye Vitabu vya Mafundisho ya Siri na Sayansi na kuvihamishia VATICAN kwenye maktaba yao na kupiga maruku maktaba hiyo kutumika watu hawaruhusiwi kwenda. Kwahiyo Elimu ujuzi wetu wakatupoka wakatunyang'anya ukiroho wetu na kupitia mafundisho ya ukiroho wetu wakatengeneza Ukiroho wao wakachanganya Maandiko yetu na tamaduni zao wakaficha ukweli kwenye hadithi za kusadikika za wahusika wasio kuwepo kupoteza muelekeo wakasema Tamaduni zetu na mafundisho yetu waliyo kuja kujifunza ni Ushetani na ushirikina kwamba leo wanasema NETERU/ANUNNAKI ni Fallen Angel .. kila elimu yetu ni Pepo na ushetani Ni mafunsisho ya malaika waasi alafu kwa siri wao wanafundishana ujuzi huohuo wanao tuambia sisi ni ushetani wanafundishana kwa siri wanapata nguvu na uweza kuputia ufundi huo na nguvu hizo wanatumia kututumikisha na kututawala wenyewe.

Amka IJUE NAFSI YAKO
Mkuu upo sahihi
Kuna aina ya uyoga....kijiji fulani kwa mzee fulani...psilocybin mushrooms....daah uyoga huu ulikuwa na maajabu ya kutosha...Kuna namna aliuandaa akachanganya na vile vitu vyeupe vinavyotoka kwenye kichuguu...halafu tukavuta na tumbaku muda wa kulala....ghafla nikajikuta nipo miaka ya nyuma darasa la kwanza tupo darasani na wenzangu wote nikawakambuka.....muda wa kutoka shule.....nikawaaga hamtaniona tena....wakawa wanachekaa....Sasa cha ajabu mwalimu akawa anashangaa mbona leo unasoma vizuri unaandika vizuri....(nikawa kimya tu)...manake ningetoa siri nisingeeeza kuamka tena....HAYA MAMBO VERY CONTROVERSIAL yapo lakini wanadai ati ni SUPER NATURAL MYSTERY.
 
Haya mambo yapo sana na ni ukweli mtupu,, mzungu watu waeupe walichukua
vya kwetu na kutuaminisha asili zetu na mila zetu ni ovyo....
African tuna dawa za kila magonjwa, tuna miti ukikutana nayo au wadudu inakwambia usiende au nenda fanya hiki fanya kile,, tuna elimu ya kuongea na wafu lakini utalopokewa eti huo ni uchawa.
 
Hata mimi niliona....
Kuhusu huo Mmea sijui miti ya Hallucinating humu ishazungumziwa Sana kipindi fulani,,nikipata link nitaweka sio kwamba wewe ndio wa kwanza kuleta Jambo Hilo

By the way Asante kwa maarifa uliyo tupatia,shusha vitu
 
Mkuu upo sahihi
Kuna aina ya uyoga....kijiji fulani kwa mzee fulani...psilocybin mushrooms....daah uyoga huu ulikuwa na maajabu ya kutosha...Kuna namna aliuandaa akachanganya na vile vitu vyeupe vinavyotoka kwenye kichuguu...halafu tukavuta na tumbaku muda wa kulala....ghafla nikajikuta nipo miaka ya nyuma darasa la kwanza tupo darasani na wenzangu wote nikawakambuka.....muda wa kutoka shule.....nikawaaga hamtaniona tena....wakawa wanachekaa....Sasa cha ajabu mwalimu akawa anashangaa mbona leo unasoma vizuri unaandika vizuri....(nikawa kimya tu)...manake ningetoa siri nisingeeeza kuamka tena....HAWA MAMBO VERY CONTROVERSIAL yapo lakini wanadai ati ni MYSTERY.
Nipe Connection ya huyo Mzee Mkuu!Mjadala usiwe mrefu.
 
Zile ni magic tricks acheni akili za kiafrika...hizi akili ndo zilifanya wazungu watupe kioo uwape madini
Kuna vitu viwili wanafanya wazungu kuna magic tricks na kuna uchawi. Narudia tena kuna uchawi. Kuna mzungu anaitwa DYNAMO ni raia wa uingereza, karithishwa uchawi na babu yake tangu akiwa mdogo, yamekuwa ndo maisha yake. Amesafiri nchi nyingi akifanya miujiza hata barabarani, mtafute YouTube, alitembea hadi juu ya maji au kupanda ghorofa kwa upande(against gravity). Hizo magic tricks huwa zinakuwa revealed wamefanyaje ila kuna uchawi hakuna anayeweza kuureveal. Ukiamua kusaka maarifa na kuelewa utanielewa. Nitakuletea mfano..
 
Zile ni magic tricks acheni akili za kiafrika...hizi akili ndo zilifanya wazungu watupe kioo uwape madini

View: https://youtu.be/TY08SBH2xzc?si=-I7XS6t-xtIc7rrm
Angalia hiyo video Dynamo akiwa South Africa uswahilini, ana ndoo ndogo tupu katoa samaki wengi kuliko ndoo yenyewe, mpaka leo wazungu wanabwabwaja kujaribu kuelezea namna alivyofanya na hawajawahi kupata majibu, wote wanabahatisha tu ukiwasikiliza kwa umakini.
 
Didy mshenzi yeye ni kunyofoa amplifaya kwenye sabuwufa za wenzake,,haangalii Una kipara ,,,minyama au kimbaumbau yeye ni chuma tuu bila huruma
 
Mojawapo ya watu wanaopewaga maarifa ya siri ni waseminari wanaosomea Upadre.
Kabisaa asee,,asilimia kubwa waliosoma shule za seminari hata kama hana ajira rasmi hawezi na wala si rahisi kushindwa kupambana na Hali yoyote ya kimaisha Wana kuwa Kwanza usiri,, ujuzi,,Maarifa,,mitazamo,,fikra na maono ya kiutofauti na wanaosoma hizi shule za kawaida na ndio maana wengi wao hupewa vitengo nyeti kwenye taasisi za kiserikali,,mashirika ya umma,,binafsi n.k!!na michujo ya kuwapata wale supa kwa ajili ya matumizi hufanyika huko huko kwenye mashule ya seminari
 
Back
Top Bottom