Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
View: https://youtu.be/TY08SBH2xzc?si=-I7XS6t-xtIc7rrm
Angalia hiyo video Dynamo akiwa South Africa uswahilini, ana ndoo ndogo tupu katoa samaki wengi kuliko ndoo yenyewe, mpaka leo wazungu wanabwabwaja kujaribu kuelezea namna alivyofanya na hawajawahi kupata majibu, wote wanabahatisha tu ukiwasikiliza kwa umakini.
Kuna moja alikutana na wa watu barabara akawa anawambia mfikirie mtu yeyote yule unaetamani kuongea nae atakupigia sim hapo hapo, na kweli ukimfikiria tu unashanga huyo mtu kakupiga sim. Hadi wakawa wanamuuliza anawezaje kufanya hvyo