Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Unavuta bangi?Ila Diddy mshenzi. Kafumua babu tale Diamond hadi baunsa wake Onesmus.
Diddy kawavua ubingwa hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavuta bangi?Ila Diddy mshenzi. Kafumua babu tale Diamond hadi baunsa wake Onesmus.
Diddy kawavua ubingwa hivihivi
Mkuu, ungeweka linkUchawi ni uchawi tu, nenda YouTube ukaangalie vizuri. Search best magician 2023, 2022 agt au bgt au vyovyote. Tatizo ni kwamba miujiza akifanya mzungu inaonekana katumia akili. Akifanya mweusi inaonekana mchawi. Amini usiamini uchawi ni ule ule, kama unabisha nikuletee link ya mfano hapa. Wanayofanya pale ni uchawi 100%, mambo yasiyowezekana kwa uwezo wa kibinadamu.
We endelea kuwaza uchawi wenzako wanatengeneza chanjo artificial intelligence na marocket ya kwenda mars afu baadae unauliza are Africans cursed.. maendeleo huanzia kwenye mindset..wenzetu washatoka hukoKuna vitu viwili wanafanya wazungu kuna magic tricks na kuna uchawi. Narudia tena kuna uchawi. Kuna mzungu anaitwa DYNAMO ni raia wa uingereza, karithishwa uchawi na babu yake tangu akiwa mdogo, yamekuwa ndo maisha yake. Amesafiri nchi nyingi akifanya miujiza hata barabarani, mtafute YouTube, alitembea hadi juu ya maji au kupanda ghorofa kwa upande(against gravity). Hizo magic tricks huwa zinakuwa revealed wamefanyaje ila kuna uchawi hakuna anayeweza kuureveal. Ukiamua kusaka maarifa na kuelewa utanielewa. Nitakuletea mfano..
View: https://youtu.be/TY08SBH2xzc?si=-I7XS6t-xtIc7rrm
Angalia hiyo video Dynamo akiwa South Africa uswahilini, ana ndoo ndogo tupu katoa samaki wengi kuliko ndoo yenyewe, mpaka leo wazungu wanabwabwaja kujaribu kuelezea namna alivyofanya na hawajawahi kupata majibu, wote wanabahatisha tu ukiwasikiliza kwa umakini.
🤣🤣🤣🤣Huu ni uwongo...shule za seminari tumesoma hamna Cha maana zaidi ya kukaririshana salamu maria na sala kadhaa na bible knowledge ya mchongo . Eti maonoKabisaa asee,,asilimia kubwa waliosoma shule za seminari hata kama hana ajira rasmi hawezi na wala si rahisi kushindwa kupambana na Hali yoyote ya kimaisha Wana kuwa Kwanza usiri,, ujuzi,,Maarifa,,mitazamo,,fikra na maono ya kiutofauti na wanaosoma hizi shule za kawaida na ndio maana wengi wao hupewa vitengo nyeti kwenye taasisi za kiserikali,,mashirika ya umma,,binafsi n.k!!na michujo ya kuwapata wale supa kwa ajili ya matumizi hufanyika huko huko kwenye mashule ya seminari
Wewe ndio hukupewa vya maana na nimekwambia ni Kwa % Fulani sio wote na sio shule zote,, michujo na ubora lazima izingatiwe kwa shule na wanafunzi pia hawaokotezi kiboya kama unavyodhani🤣🤣🤣🤣Huu ni uwongo...shule za seminari tumesoma hamna Cha maana zaidi ya kukaririshana salamu maria na sala kadhaa na bible knowledge ya mchongo . Eti maono
Kama wewe ni mtu wa kutafuta sababu sababu bila kuumiza kichwa kubali HUNA AKILI.., Mimi Kila kitu najipa majibu kwanza mimi.., sikubali kuendeshwa.na ha NWO(New World Order). Tuishie hapa.🤣Just because mtu kanizidi ujanja siwezi conclude ni superstition...mi kutoweza kuelezea kitu doesn't mean ni uchawi it means siwezi kuelezea .na sio kazi yangu kuelezea.. mzungu akiona kitu hakielewi anatafuta suluhisho.. ndo maana wakati we unaombea corona iondoke kwa mwamposa na kukanyaga mafuta mwenzako yupo maabara anahangaika apate chanjo
Njia ya Iringa_Mbeya...Kuna sehemu wanatengeneza vyungu...panaitwa Rungemba...shuka hapo ulizia njia ya kwenda kijiji cha Udumuka.....ndani ya njia hiyo ulizia Mzee Magege. 👍Nipe Connection ya huyo Mzee Mkuu!Mjadala usiwe mrefu.
View: https://youtu.be/TY08SBH2xzc?si=-I7XS6t-xtIc7rrm
Angalia hiyo video Dynamo akiwa South Africa uswahilini, ana ndoo ndogo tupu katoa samaki wengi kuliko ndoo yenyewe, mpaka leo wazungu wanabwabwaja kujaribu kuelezea namna alivyofanya na hawajawahi kupata majibu, wote wanabahatisha tu ukiwasikiliza kwa umakini.
Mimi niliona upande wa pili wa hilo!Kuna kipindi kipo UK kinaitwa British has got talent, na Marekani - America's got talent, kuna jamaa wanajiita magician (wanamazingaombwe), wanafanya vitu ambavyo ni miujiza kabisa na ni nje ya uwezo wa kawaida wa binadamu. Ukiingia YouTube ukaangalia video zao utakubaliana na mleta mada.
Na wengi ni wazungu, niliiona hadi mtoto wa kike wa miaka 8 muingereza alifanya miujiza na akadai amefundishwa na babu yake. Hii dunia ina mambo mengi yaliyojificha.
jamaa anataka kutuaminisha et shin lim ni mchawi, safari ndefu bado tunyo.Zile ni magic tricks acheni akili za kiafrika...hizi akili ndo zilifanya wazungu watupe kioo uwape madini
How can we prove this...ushaanza kusema Mara wewe Mara huyu...kaja hizo knowledge zingekuwa za maana mbona afrika inaongoza kwa udini na ndo sehemu maskini kuliko zote duniani...we kubali umeongea pumba yaisheWewe ndio hukupewa vya maana na nimekwambia ni Kwa % Fulani sio wote na sio shule zote,, michujo na ubora lazima izingatiwe kwa shule na wanafunzi pia hawaokotezi kiboya kama unavyodhani
🤣🤣🤣That's not research...huwezi sema nini kinasababisha mvua...afu unasema malaika anamwaga mikojo afu ukalala ukasema unajibu.. yaani hata elimu ya class 5 ya scientific investigation huna ndo maana hatuendeleiKama wewe ni mtu wa kutafuta sababu sababu bila kuumiza kichwa kubali HUNA AKILI.., Mimi Kila kitu najipa majibu kwanza mimi.., sikubali kuendeshwa.na ha NWO(New World Order). Tuishie hapa.
Kwa kwelijamaa anataka kutuaminisha et shin lim ni mchawi, safari ndefu bado tunyo.
Kwani uliyoyasema wewe Una uhakika unaweza ukayapruvu??How can we prove this...ushaanza kusema Mara wewe Mara huyu...kaja hizo knowledge zingekuwa za maana mbona afrika inaongoza kwa udini na ndo sehemu maskini kuliko zote duniani...we kubali umeongea pumba yaishe
Mbona umekazana bongo mnaishi hivi mara vile, mara mafuta ya kukanyaga? we unawajua watu wote humu wanaishi wapi!?.., unajua mimi ni raia wa nchi gani na naishi wapi!?,au sababu tupo hapa tunazozana kwa kiswahili!!?,una tatizo la kuhisi upo juu ya wengine na unajua kila kitu. Mara nyingi watu kama wewe huwa hata elimu yenu ya kawaida sana ila much know nyingi. Kwenye maisha ukiwa mtu wa kujiona mjuaji sana mara nyingi utapitwa na mengi na mnakujaga kuujua ukweli ukiwa 65 years huko. Punguza ujuaji itakusaidia hata kwenye jamii inayokuzunguka kila siku. Mengine kubali hujui uelimishwe.🤣 nimetoka kumsearch huyo dynamo cjui ni magician tu wa kawaida na kitabu chake kinaelezea namna ya kufanya, hamna Cha uchawi Wala unini...tatizo linaanza hapa ndo maana bongo mtaishia kuishi kwa mafuta ya kukanyaga