Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

Kuhusu huo Mmea sijui miti ya Hallucinating humu ishazungumziwa Sana kipindi fulani,,nikipata link nitaweka sio kwamba wewe ndio wa kwanza kuleta Jambo Hilo

By the way Asante kwa maarifa uliyo tupatia,shusha vitu
 
Mkuu upo sahihi
Kuna aina ya uyoga....kijiji fulani kwa mzee fulani...psilocybin mushrooms....daah uyoga huu ulikuwa na maajabu ya kutosha...Kuna namna aliuandaa akachanganya na vile vitu vyeupe vinavyotoka kwenye kichuguu...halafu tukavuta na tumbaku muda wa kulala....ghafla nikajikuta nipo miaka ya nyuma darasa la kwanza tupo darasani na wenzangu wote nikawakambuka.....muda wa kutoka shule.....nikawaaga hamtaniona tena....wakawa wanachekaa....Sasa cha ajabu mwalimu akawa anashangaa mbona leo unasoma vizuri unaandika vizuri....(nikawa kimya tu)...manake ningetoa siri nisingeeeza kuamka tena....HAYA MAMBO VERY CONTROVERSIAL yapo lakini wanadai ati ni SUPER NATURAL MYSTERY.
 
Haya mambo yapo sana na ni ukweli mtupu,, mzungu watu waeupe walichukua
vya kwetu na kutuaminisha asili zetu na mila zetu ni ovyo....
African tuna dawa za kila magonjwa, tuna miti ukikutana nayo au wadudu inakwambia usiende au nenda fanya hiki fanya kile,, tuna elimu ya kuongea na wafu lakini utalopokewa eti huo ni uchawa.
 
Hata mimi niliona....
Kuhusu huo Mmea sijui miti ya Hallucinating humu ishazungumziwa Sana kipindi fulani,,nikipata link nitaweka sio kwamba wewe ndio wa kwanza kuleta Jambo Hilo

By the way Asante kwa maarifa uliyo tupatia,shusha vitu
 
Una kitu ntakutafuta unieleweshe vizuri hili somo
 
Nipe Connection ya huyo Mzee Mkuu!Mjadala usiwe mrefu.
 
Zile ni magic tricks acheni akili za kiafrika...hizi akili ndo zilifanya wazungu watupe kioo uwape madini
Kuna vitu viwili wanafanya wazungu kuna magic tricks na kuna uchawi. Narudia tena kuna uchawi. Kuna mzungu anaitwa DYNAMO ni raia wa uingereza, karithishwa uchawi na babu yake tangu akiwa mdogo, yamekuwa ndo maisha yake. Amesafiri nchi nyingi akifanya miujiza hata barabarani, mtafute YouTube, alitembea hadi juu ya maji au kupanda ghorofa kwa upande(against gravity). Hizo magic tricks huwa zinakuwa revealed wamefanyaje ila kuna uchawi hakuna anayeweza kuureveal. Ukiamua kusaka maarifa na kuelewa utanielewa. Nitakuletea mfano..
 
Zile ni magic tricks acheni akili za kiafrika...hizi akili ndo zilifanya wazungu watupe kioo uwape madini

View: https://youtu.be/TY08SBH2xzc?si=-I7XS6t-xtIc7rrmAngalia hiyo video Dynamo akiwa South Africa uswahilini, ana ndoo ndogo tupu katoa samaki wengi kuliko ndoo yenyewe, mpaka leo wazungu wanabwabwaja kujaribu kuelezea namna alivyofanya na hawajawahi kupata majibu, wote wanabahatisha tu ukiwasikiliza kwa umakini.
 
Didy mshenzi yeye ni kunyofoa amplifaya kwenye sabuwufa za wenzake,,haangalii Una kipara ,,,minyama au kimbaumbau yeye ni chuma tuu bila huruma
 
Mojawapo ya watu wanaopewaga maarifa ya siri ni waseminari wanaosomea Upadre.
Kabisaa asee,,asilimia kubwa waliosoma shule za seminari hata kama hana ajira rasmi hawezi na wala si rahisi kushindwa kupambana na Hali yoyote ya kimaisha Wana kuwa Kwanza usiri,, ujuzi,,Maarifa,,mitazamo,,fikra na maono ya kiutofauti na wanaosoma hizi shule za kawaida na ndio maana wengi wao hupewa vitengo nyeti kwenye taasisi za kiserikali,,mashirika ya umma,,binafsi n.k!!na michujo ya kuwapata wale supa kwa ajili ya matumizi hufanyika huko huko kwenye mashule ya seminari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…