Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

Nje ya mada, kuna mtu alinihadithia kuhusu dini ya jadi, na kiongozi (mtume) wao anaitwa fumbakasa. Na ibada zao wanafanyia kigamboni, mwny kujua naomba anijuze zyd
 
Mkuu, ungeweka link
 
Jf ishakuwa ya kifala, sijui kwanini baadhi ya comments zinafungiwa?
 
We endelea kuwaza uchawi wenzako wanatengeneza chanjo artificial intelligence na marocket ya kwenda mars afu baadae unauliza are Africans cursed.. maendeleo huanzia kwenye mindset..wenzetu washatoka huko
 
🤣Just because mtu kanizidi ujanja siwezi conclude ni superstition...mi kutoweza kuelezea kitu doesn't mean ni uchawi it means siwezi kuelezea .na sio kazi yangu kuelezea.. mzungu akiona kitu hakielewi anatafuta suluhisho.. ndo maana wakati we unaombea corona iondoke kwa mwamposa na kukanyaga mafuta mwenzako yupo maabara anahangaika apate chanjo
 
🤣🤣🤣🤣Huu ni uwongo...shule za seminari tumesoma hamna Cha maana zaidi ya kukaririshana salamu maria na sala kadhaa na bible knowledge ya mchongo . Eti maono
 
🤣🤣🤣🤣Huu ni uwongo...shule za seminari tumesoma hamna Cha maana zaidi ya kukaririshana salamu maria na sala kadhaa na bible knowledge ya mchongo . Eti maono
Wewe ndio hukupewa vya maana na nimekwambia ni Kwa % Fulani sio wote na sio shule zote,, michujo na ubora lazima izingatiwe kwa shule na wanafunzi pia hawaokotezi kiboya kama unavyodhani
 
Kama wewe ni mtu wa kutafuta sababu sababu bila kuumiza kichwa kubali HUNA AKILI.., Mimi Kila kitu najipa majibu kwanza mimi.., sikubali kuendeshwa.na ha NWO(New World Order). Tuishie hapa.
 
Nipe Connection ya huyo Mzee Mkuu!Mjadala usiwe mrefu.
Njia ya Iringa_Mbeya...Kuna sehemu wanatengeneza vyungu...panaitwa Rungemba...shuka hapo ulizia njia ya kwenda kijiji cha Udumuka.....ndani ya njia hiyo ulizia Mzee Magege. 👍
 
Haya mambo yapo sana....lakini wengi wetu tunapigwa upofu tusipate ufahamu.
Unajua hata Yesu wengi walimfuata kwa sababu ya uhakika wa kula mkate na samaki....ofcoz na mvinyo 🍷.
 
Mimi niliona upande wa pili wa hilo!

Ni raia wa UK. Naye yeye ni magician. Alipoulizwa imekuwaje kuwa na hicho kipaji alichojibu ni kuwa aliupenda hivyo aliomba kufundishwa na mzee aliyokuwa akifanya hayo!

Yeye anasema alipelekwa kwenye pango. Kisha huyo mzee akachora duara. Akamwambia aingie na asitoke mpaka kesho asubuhi atakapo kuja kumuona.

Akamwambia haja zote akijisikia ajisaidie ndani ya hilo shimo asitoke. Na usiku atakuja mtu atamuuliza shida yake ni nini basi amuelezee huyo mtu atamfundisha cha kufanya.

Yeye jamaa anasema usiku hakumuona mtu bali alisikia sauti ikimhoji tu. Ila alimalizia kwa aliingia makubaliano naye. Ndiyo siri ya yeye kuwa magician.
 
Wewe ndio hukupewa vya maana na nimekwambia ni Kwa % Fulani sio wote na sio shule zote,, michujo na ubora lazima izingatiwe kwa shule na wanafunzi pia hawaokotezi kiboya kama unavyodhani
How can we prove this...ushaanza kusema Mara wewe Mara huyu...kaja hizo knowledge zingekuwa za maana mbona afrika inaongoza kwa udini na ndo sehemu maskini kuliko zote duniani...we kubali umeongea pumba yaishe
 
Kama wewe ni mtu wa kutafuta sababu sababu bila kuumiza kichwa kubali HUNA AKILI.., Mimi Kila kitu najipa majibu kwanza mimi.., sikubali kuendeshwa.na ha NWO(New World Order). Tuishie hapa.
🤣🤣🤣That's not research...huwezi sema nini kinasababisha mvua...afu unasema malaika anamwaga mikojo afu ukalala ukasema unajibu.. yaani hata elimu ya class 5 ya scientific investigation huna ndo maana hatuendelei
 
🤣 nimetoka kumsearch huyo dynamo cjui ni magician tu wa kawaida na kitabu chake kinaelezea namna ya kufanya, hamna Cha uchawi Wala unini...tatizo linaanza hapa ndo maana bongo mtaishia kuishi kwa mafuta ya kukanyaga
 
How can we prove this...ushaanza kusema Mara wewe Mara huyu...kaja hizo knowledge zingekuwa za maana mbona afrika inaongoza kwa udini na ndo sehemu maskini kuliko zote duniani...we kubali umeongea pumba yaishe
Kwani uliyoyasema wewe Una uhakika unaweza ukayapruvu??
 
🤣 nimetoka kumsearch huyo dynamo cjui ni magician tu wa kawaida na kitabu chake kinaelezea namna ya kufanya, hamna Cha uchawi Wala unini...tatizo linaanza hapa ndo maana bongo mtaishia kuishi kwa mafuta ya kukanyaga
Mbona umekazana bongo mnaishi hivi mara vile, mara mafuta ya kukanyaga? we unawajua watu wote humu wanaishi wapi!?.., unajua mimi ni raia wa nchi gani na naishi wapi!?,au sababu tupo hapa tunazozana kwa kiswahili!!?,una tatizo la kuhisi upo juu ya wengine na unajua kila kitu. Mara nyingi watu kama wewe huwa hata elimu yenu ya kawaida sana ila much know nyingi. Kwenye maisha ukiwa mtu wa kujiona mjuaji sana mara nyingi utapitwa na mengi na mnakujaga kuujua ukweli ukiwa 65 years huko. Punguza ujuaji itakusaidia hata kwenye jamii inayokuzunguka kila siku. Mengine kubali hujui uelimishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…