Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

Kuna moja alikutana na wa watu barabara akawa anawambia mfikirie mtu yeyote yule unaetamani kuongea nae atakupigia sim hapo hapo, na kweli ukimfikiria tu unashanga huyo mtu kakupiga sim. Hadi wakawa wanamuuliza anawezaje kufanya hvyo
 
Sahihi mkuu, umenikumbusha nyingine alikuwa new York watu kibao wakamzunguka akawaambia kila mtu atoe simu yake mfukoni aishikilie mkononi, baada ya kama sekunde 10 hivi simu zote zikaanza kuita na zote namba ni UNKNOWN, Kuna magic tricks na kuna uchawi (miujiza),ila ikifanywa na wazungu inatafutiwa sababu za kisayansi. Ila jaji mmoja wa Britain has got talent alimuuliza dogo mmoja, Is your grandpa a Wizard!?,akasema Yes, he is. And I inherited his witchcraft.
 
Kuhusu huo Mmea sijui miti ya Hallucinating humu ishazungumziwa Sana kipindi fulani,,nikipata link nitaweka sio kwamba wewe ndio wa kwanza kuleta Jambo Hilo

By the way Asante kwa maarifa uliyo tupatia,shusha vitu
Allucinating plants mbona iko mingi sana na inajulikana mfano mbangi, Coca, tobacco nk. Mengine inaota katika mazingira tunayoishi..
Ila eleweni kwanza nini maana ya Allucination ndio muiangalie hiyo miti yenye hizo kemikali zinazowehusha watu.
 
Kuna moja alikutana na wa watu barabara akawa anawambia mfikirie mtu yeyote yule unaetamani kuongea nae atakupigia sim hapo hapo, na kweli ukimfikiria tu unashanga huyo mtu kakupiga sim. Hadi wakawa wanamuuliza anawezaje kufanya hvyo
Wapi huko tukamuone
 
Uzi mzuri sana huu, hongera kiongozi. Mimi naomba kuuliza yafuatayo.
1- Je hicho kitabu na haya mafundisho ya siri hayahusishi kuwa initiated ktk secret societies?
2-Kwa kiasi umeongelea faida za secret knowledge, je kuna hasara pia?
3- Je unaweza kushare hicho kitabu na watu au sharing is also prohibited?
 
Kwani uliyoyasema wewe Una uhakika unaweza ukayapruvu??
Haha ndio ...we ni sawa na kusema Nina ngombe mwenye kutoa barafu ila haonekani kwa macho ya kawaida mpaka uwe na ya kiroho ..🤣ni kichaa peke yake anaweza amini such bullcrap
 
Nielimishe vitu factual sio conspiracy theories
 
Nielimishe vitu factual sio conspiracy theories
Nitakupa elimu gani kuhusu miujiza(uchawi) uelewe!?,tafuta video moja Dynamo yupo New York kazungukwa na raia wakishangaa uchawi wake, akawaamuru watoe simu mifukoni wote wazishike mkononi., sekunde chache simu zote zinaita na Unknown number, utaniambia hiyo ni magic tricks!??,katafute maelezo yoyote alifanyaje kama utayapata!.. halafu njoo hapa uniambie wewe hiyo ni magic trick au uchawi!???
 
Time travel.?
 
Kuna moja alikutana na wa watu barabara akawa anawambia mfikirie mtu yeyote yule unaetamani kuongea nae atakupigia sim hapo hapo, na kweli ukimfikiria tu unashanga huyo mtu kakupiga sim. Hadi wakawa wanamuuliza anawezaje kufanya hvyo
siamini hadi namimi nikutane nae.😂 labda ni maigizo tu kama yule reporter wamchongo.?
 
Mojawapo ya watu wanaopewaga maarifa ya siri ni waseminari wanaosomea Upadre.
Kuna mkasa fulani ulitokea kwenye ukoo fulani,jamaa wakahangaika sana kila sehemu kupata ufumbuzi walienda kwa waganga wote nguli ikashindikana na maombi yote yakagoma,mwisho wakakutana na Mzee mmoja akawaambia kama mna mtu au ndugu ana uhusiano wa karibu mno na Padre yeyote wa Catholic amfuate aongee nae private na amwombe sana amtatulie hilo tatizo. Huyo Mzee akaweka angalizo kuwa jamaa wanaweza kufanya ila kwa hela ndefu mno,kweli wakapata Padre akawafanyia na tatizo likaisha,ila iliwakost zaidi ya 10+ml
 
kumbe hata hizi Imani za wenzetu bado hatuzijui vizuri yani tunazani tukisoma bible tumemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…